Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Ulikuwa ugonjwa wangu, nasikitika majukumu na vyuma kukaza nina pair 2 sasa!
Ila ni ugonjwa mzuri..
 
9f96be0d631d08134de373374beb871b.jpg

Hiyo hapooo
Mtambo huo mpya ndio unatolewa kwenye box hapo [emoji2]
48ccb35bc6c100ef80ba13f3512ed78c.jpg
 
Niko humu..napenda vans nyeusi pia
 

Attachments

  • IMG-20180306-WA0029.jpg
    IMG-20180306-WA0029.jpg
    56.9 KB · Views: 72
Back
Top Bottom