Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Sijaviona hivi mkuu....au kwenye list havipo?
b41b9336c180d5aebc61de90082daabe.jpg

Hivi vya kinyasa sana
 
ila hii issue ya viatu bhn huwa inaniachaga mdomo wazi.....kuna siku ndani ya mizunguko yangu town nikafika sehemu flani hv nikapark gari akaja njemba moja hivi imevaa viyebo yebo flani hv vinaitwa 'BAJAJI' nusu nirudi ndani ya gari tn
Hahahahahahaaa
 
Back
Top Bottom