Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

[emoji23][emoji23]bila pesa uvumiliv utanshinda
Hahaaa... Aseee yan mnazidi kunionyesha ni kwa kiasi wanaume tuna mlima mrefu kuzifikia papuchi. Nakumbuka mwaka jana wakati kama huu wa valentine nilizinguana na girlfriend wangu kisa pesa japo alikua anajitahidi kuficha asionekane anahitaji pesa. Mi mwnyewe wakati huo nimepigika vibaya mno.

Asee nilibaniwa papuchi mwisho wa siku nikaamua kutoka mwenyewe.
 
Mimi kuna kila dalili ya kumuacha huyu nilie nae japo yeye haonyeshi kupenda pesa ila anajifanya ubize sana kiasi kwamba hata hiyo papuchi kuipata inachukua mpaka miezi mitatu,hii sasa ni likizo wazee.
 
Alikua anajua fika atatumika bila hata pole ya karatasi,mana pole za mdomo tushazizoea[emoji23][emoji23]aljua atapigika af asipate hata kipozeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…