Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Love nimeiona kumbe ni series.....nitaanza kuifatilia kwa kweli.....si ndo hii Mzigua90Mchek kwenye being mary jane. Utadata nakwambia. Kaka mzuri kama umle hivii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Love nimeiona kumbe ni series.....nitaanza kuifatilia kwa kweli.....si ndo hii Mzigua90Mchek kwenye being mary jane. Utadata nakwambia. Kaka mzuri kama umle hivii
Akose vyote ila asikose nguvu za kugegeda na nguvu za kusaka pesa,yan mfuko wake uwe unaeleweka kidogoUnacheka.. Huwezi kumpata mtu ana vigezo vyote unavyo hitaji. Na ndio kauli ya HAKUNA MWANADAMU MKAMILIFU inapokuja.
Hahaa.. Kugegeda muhimu. Hapo hakuna excuse. Ila pesa walau naweza kujitetea.Akose vyote ila asikose nguvu za kugegeda na nguvu za kusaka pesa,yan mfuko wake uwe unaeleweka kidogo
[emoji23][emoji23]bila pesa uvumiliv utanshindaHahaa.. Kugegeda muhimu. Hapo hakuna excuse. Ila pesa walau naweza kujitetea.
Hahaaa... Aseee yan mnazidi kunionyesha ni kwa kiasi wanaume tuna mlima mrefu kuzifikia papuchi. Nakumbuka mwaka jana wakati kama huu wa valentine nilizinguana na girlfriend wangu kisa pesa japo alikua anajitahidi kuficha asionekane anahitaji pesa. Mi mwnyewe wakati huo nimepigika vibaya mno.[emoji23][emoji23]bila pesa uvumiliv utanshinda
hawa watu ni wa kudownload sio watu halisi wapo so HD
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani unauza?[emoji23][emoji23]bila pesa uvumiliv utanshinda
Umeona hawa mahandsome??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi nimeanza kuwaangalia tangu saa moja, hadi nimewakinaiUmeona hawa mahandsome??
![]()
Mimi kuna kila dalili ya kumuacha huyu nilie nae japo yeye haonyeshi kupenda pesa ila anajifanya ubize sana kiasi kwamba hata hiyo papuchi kuipata inachukua mpaka miezi mitatu,hii sasa ni likizo wazee.Hahaaa... Aseee yan mnazidi kunionyesha ni kwa kiasi wanaume tuna mlima mrefu kuzifikia papuchi. Nakumbuka mwaka jana wakati kama huu wa valentine nilizinguana na girlfriend wangu kisa pesa japo alikua anajitahidi kuficha asionekane anahitaji pesa. Mi mwnyewe wakati huo nimepigika vibaya mno.
Asee nilibaniwa papuchi mwisho wa siku nikaamua kutoka mwenyewe.
Hauzi wala hatowi bure.Kwani unauza?
Mimi nimeanza kuwaangalia tangu saa moja, hadi nimewakinai
Alikua anajua fika atatumika bila hata pole ya karatasi,mana pole za mdomo tushazizoea[emoji23][emoji23]aljua atapigika af asipate hata kipozeoHahaaa... Aseee yan mnazidi kunionyesha ni kwa kiasi wanaume tuna mlima mrefu kuzifikia papuchi. Nakumbuka mwaka jana wakati kama huu wa valentine nilizinguana na girlfriend wangu kisa pesa japo alikua anajitahidi kuficha asionekane anahitaji pesa. Mi mwnyewe wakati huo nimepigika vibaya mno.
Asee nilibaniwa papuchi mwisho wa siku nikaamua kutoka mwenyewe.
Huyu nani?