Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

leo nimesikitika mno na nimegundua wanawake hawajiheshim
yan mtu nimtumie picha yangu inbox alafu anakuja kunianika humu dah nimesikitika sana

sasa nasema sitokutumia tena picha hio ndo ya mwisho tuone utakua una post nn
Pole[emoji23][emoji23][emoji23]we ni yupi kati ya picha zilizopostiwa mkuu?
 
IMG-20180131-WA0038.jpg
HATA HUYU
 
Muone vilee, mapenzi si pesa ujue...!!! [emoji15] [emoji15]
Sasa si tutalazana njaa aisee!!!na kama ndo anapiga show kama anahama si inabidi tupate supu kidogo kurudisha nguvu,sasa kama hana pesa si tutauana!?
Anatakiwa pia anihudumie nipendeze,bila pesa ntachujuka walahi[emoji23][emoji23]
Lazima nimtimue akafanye kazi,usifanye mchezo na pesa mkuu
 
Back
Top Bottom