Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Ndonabonyeza hapaa.... nimejikuta nimeshika button mbili kubwaaa laini laini kama biringanya..... Sijui ntaifikia saa ngapi Nickelodeon....niendelee kubonyeza??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hivi mama ako wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Nanashangaaga.... Kwanini mwanaume akiambiwa wewe mama tuu anakasirika wakati hata sio mama na wala habadiliki kuwa mama.... Huwa sielewi....

Au na wewe huwa unakasirika??
mm nakasirika
 
Hahahahahahhaha sasa unakasirika nini....

Kwani unabadilika kuwa mama kweli?

Mfano nth akikwambia wewe ni jembee....

Utakasirika?
hahaha sikasiriki ila inatgemeana na mantiki na muda wa utamkaji
 
[emoji377] [emoji377]
IMG_20180707_144204.jpg
 
Back
Top Bottom