Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

Kama kuna mtu yeyote kwenye sensa atatoka na million 1 ,aniite mbwa Niko pale nimekaa ....[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mku hii namba 47 nitatumia nini kutengeneza kwani nahitaji kijua kwa ajili kuwalishia kuku ninaowafuga.
Asante
 
Mku hii namba 47 nitatumia nini kutengeneza kwani nahitaji kijua kwa ajili kuwalishia kuku ninaowafuga.
Asante
47 ni duka la kupoint nguo za mitumba, labda weka wazi unataka msaada juu ya nini
 
Mwny ujuzi na utaalam wa huu mradi wa vifungashio aje tuyajenge
 
Tafuta mtaji 2.5mil omba leseni ya ubroker wa madini ingia porini nunua dhahabu kauze soko la madini.... zubgusha mtaji, jibane weka malengo, kaza
 
Nimeipenda hii elim mungu akisaidia inaweza nitoa kimaisha moja kati ya hizo idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…