Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

Mm sionagi mtu yyte mbaya humu.as long as hatujuan raha sana kuzinguana maana hatugusani personal issues .Nawatakia tuendelee kupelekeshana zaidi 2023
 
Wewe ni mtu wa hovyo sana, hao uliowataja ni kati ya watu wa maana sana humu, utakuwa mtu wa hovyo. Wivu na fitina sana.
Chuki za wazi kabisa,
Umetaja watu wa maana wote
Ungejiweka wewe kama mwakilishi wa kundi la hovyo;
Shame on you!
unamwachaje Mwashambwa au upo na kundi moja
Hapo kwa mshana sidhani kama upo sahihi
kwa Mshana Jr umemuonea kabisa namtetea kwa jasho na damu.
Umetumia watu wanaofatiliwa Sana kuwachafua Ili Uzi utembee. Si jambo baya Kama lengo lako ni kujifurahisha
Nimegundua ni kwa nini wabongo mnaibiwa kila mwaka, kila siku. Ikitoka DECI inakuja Q NET, kutoka hiyo inakuja KALYNDA, akitoka nabii huyu anakuja kuhani huyu, mnapigwa na mtaendelea kupigwa!

Yaani nyie matapeli ndio mnawaona watu wa maana!? Wote waliotajwa kwenye uzi ni wajanja wajanja tu wasela, wahuni wahuni!

Ndugu, OGOPA MATAPELI!
 
Ndo umeandika nini?😏
 
Tujifunze kuwaheshimu wakubwa kwa wadogo.
Kipimo cha uhovyo si kama hicho, Kumfuata mhusika nyuma ya pazia na kumwambia moja mbili tatu ni vyema sana tofauti na hivo ww ndo utakua mtu wa ovyo.
 
Yaani Lionel Messi wa PSG FC ya Ufaransa atishwe au aogopeshwe na Clement Mzize wa Yanga SC ya Tanzania?

Endelea kujipa Moyo na Kujidanganya.
Genta, zile frame Lugalo jeshini wamezivunja inaonekana wamefanyia kazi ushauri wako.
 
Orodha ndogo sana hii fanya kuongeza na wale mods nao wapo hovyo sana
 
Mathanzua na huyu bwana abadilike. Anajiona dini yake perfect sana kuliko za wenzake.. anajiona nephew wake Nabii Elijah
 
Daaah!!! Mzee pole sana, kwa kumjumuisha brother Mshana Jr maana huyo ni kama baba, kaka au kiongozi wa JF kwa karne hii
 
Mathanzua na huyu bwana abadilike. Anajiona dini yake perfect sana kuliko za wenzake.. anajiona nephew wake Nabii Elijah
Mkuu asante kwa kunitaka nibadilike,but change to what.Niwe stooge na maamuma ndio ufurahi ?No nitasimamia commission yangu kama nilivyopewa na Bwana Yesu.Halafu niku-alert,Bwana Yesu hakuleta dini duniani,he brought salvation.Religions are Institutions of the Devil to guide humanity to rebel against the Most High God.Tokeni huko,you are wasting time.Mtafungwa na mifumo ya Dunia ya Shetani mpaka lini?Amkeni.
 
Mshana Jr kula kichwa hicho,hujamroga tu na ww uko vizuri kwenye hili eneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…