Love Nuru
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 758
- 1,194
Sawa nini sasa? Umedata?Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nini sasa? Umedata?Sawa.
Wazee wa rainbowMimi kule international forum kuna watu wananichefua sana. Sijui kama ni wa hovyo lakini. Ila wananichefua balaa.
1. @kpkipanya24
2. vunjo
Hawa sijasema wa hovyo, wao ni kunichefua tu. Nieleweke.
Ndiyo.Sawa nini sasa? Umedata?
Bahati nzuri huwa unaniheshimu na kuniogopa. Nilidhani utaanzisha ligi na mimi, nikut....Ndiyo.
Yaani Lionel Messi wa PSG FC ya Ufaransa atishwe au aogopeshwe na Clement Mzize wa Yanga SC ya Tanzania?Bahati nzuri huwa unaniheshimu na kuniogopa. Nilidhani utaanzisha ligi na mimi, nikut....
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ukapendwa na Watu Wapumbavu, Waswahili na wenye Roho Mbaya zenye Chuki na Wivu kwakuwa Nakubalika na Maarufu Kuwazidi.Namba 2 umekosea sana huyo jamaa. Mbona hachukui hela ya mtu au kosa kuhadithia bila kukusifia sifia wazee wa Jf?
Namba 3 ni sawa,huyu jamaa ukimkosoa tu anakupa za uso mpaka kukuanzia Uzi mzima. Akipata moto anajichanganya anakujibu kwa I'd hii,baadae kidogo I'd nyingine.
Uliempatia sana sana ni huyu namba 4. LUCAS MWASHAMBWA. Mzee wa kulamba viatu. Amezidisha sasa,anaboa sana kusifia hata matope. Ungemaliza kabisa walikuwepo wenzie akina Pascal baada ya sifia sana teuzi bila bila wameanza kugeuka taratibu. Mwambie tu we msafwa teuzi hazipo tena
Mademu ukitaka ukosane nao. Mponde mpiga story wao....Namba 2 umekosea sana huyo jamaa. Mbona hachukui hela ya mtu au kosa kuhadithia bila kukusifia sifia wazee wa Jf?
Namba 3 ni sawa,huyu jamaa ukimkosoa tu anakupa za uso mpaka kukuanzia Uzi mzima. Akipata moto anajichanganya anakujibu kwa I'd hii,baadae kidogo I'd nyingine.
Uliempatia sana sana ni huyu namba 4. LUCAS MWASHAMBWA. Mzee wa kulamba viatu. Amezidisha sasa,anaboa sana kusifia hata matope. Ungemaliza kabisa walikuwepo wenzie akina Pascal baada ya sifia sana teuzi bila bila wameanza kugeuka taratibu. Mwambie tu we msafwa teuzi hazipo tena
inawezekana ni mtu mmoja make hapa jf kuna multiple ID's syndromeMshana umeziingua saana kwenye list sijamuona mpwayungu village
malizia mbona unaishia njiani,acha chuki kwa wenzio ndugu yangu mimi uchawa sijazoea ukizengua lazima nikuchaneSawa bibii... Nimekupata vizuri. Mimi ni mtu wa hovyo hovyo sana. Hasa nikinywa wanzuki ndo utanipenda. Ila rafiki yako hajakwambia kuwa yuliyamaliza na tukubaliana tusiji expose kwa Ids hizi. So weka chuki chini. Mimi nyota sina kwa kweli. Anazo Mungu tu na Misikitini kuna nyota na mwezi. Wewe mwanamke nipatie moja basi.... Mi nitaacha uhovyo sawa? Nawe uache zile issues za kunanii.....
Ze gogoz International@Mpwayunguvillage say something!😂😂😂1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.
2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.
3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.
4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote
5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.
6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.
Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Ahsanteeeeeeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?
Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?
Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Hana baya jamaa.Kweli aisee
Mi sionagi tatizo la Mshana Jr
Anatoa elimu nzuri na hana matusi hata anapodhihakiwa
Kabisa.... Ni kuchanana tu kwa kwenda mbele. Sasa unasema hujazoea uchawa kwa nini unakuwa chawa kama hujazoea? Achana nao.malizia mbona unaishia njiani,acha chuki kwa wenzio ndugu yangu mimi uchawa sijazoea ukizengua lazima nikuchane
Hiyo haondoi ukweli kwamba huwa unaniogopa sana. Nisingekuwemo humu JF ungenyanyasa sana raia, uzuri huwa ukioniona nimetia timu unaufyata. Hata matusi huwa unaacha.... Kama unabisha nitukane basi.Yaani Lionel Messi wa PSG FC ya Ufaransa atishwe au aogopeshwe na Clement Mzize wa Yanga SC ya Tanzania?
Endelea kujipa Moyo na Kujidanganya.
Umekosea uliposema ni mfupi ..ungesema ni mrefu wa futi tano😂😂😂Huyo namba tatu ngoja aamke uoge matusi kwa kutumia ID mpya,jamaa nimekua nae oysterbay familia bora tatizo lake ni ufupi,ana urefu wa futi tano kamili so badhani unafahamu watu wafupi kujikweza