Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

Kuna mwamba anajiita daudi mchambuzi,sijui anachambuaga nini? Maana sijawahi kuona uchambuzi wake kwa uzi wala kwenye comment section.
Anachamba Mbuzi. Ndo mchambuzi. Yaani mchamba mbuzi.
 
1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.

2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.

3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.

4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote

5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.

6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.

Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?

Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?

Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Huyo namba tatu ngoja aamke uoge matusi kwa kutumia ID mpya,jamaa nimekua nae oysterbay familia bora tatizo lake ni ufupi,ana urefu wa futi tano kamili so badhani unafahamu watu wafupi kujikweza
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?

Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?

Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Watu wa hovyo ni viranja wa humu

Naona jana mmewawakia mpaka wakayatoa masnow

Kwenye zile kelele zenu nilikumbuka ambavyo mashabiki uchwara huwaka kwenye vibanda umiza pale tv au umeme unapozingua au muongoza kibanda anapotaka kufanya marekebisho hao watazanaji huwaka utazan wamepoteza kitu kikubwa sana kwa dakika moja na pesa waliyolipia ni jero tu lakin kelele zao sio za nchi hii
 
Genta.
 
Namba tatu si uandike GENTAMYCINE umezunguka sana ili iweje.

Naunga mkono hoja. Jamaa amemkosea sana GENTAMYCINE Nadhani chizi maarifa ni jitu la hovyo hovyo lililojaa wivu
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ukapendwa na Watu Wapumbavu, Waswahili na wenye Roho Mbaya zenye Chuki na Wivu kwakuwa Nakubalika na Maarufu Kuwazidi.

Ahsante Mungu kwa Baraka zako hizi.
 
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?

Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?

Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nani anakuchafua wakati u mchafu tayari?
 
Ana ID kama 29,alivyo mjinga anabadili ID anasahau kubadili mwandiko
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?

Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?

Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Labda familia bora kwako. Familia Bora huwa hawapati muda wa kujifunza matusi. Mi nafahamu.... Jamaa amejaa matusi tu kichwani mwake.
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ukapendwa na Watu Wapumbavu, Waswahili na wenye Roho Mbaya zenye Chuki na Wivu kwakuwa Nakubalika na Maarufu Kuwazidi.

Asante Mungu kwa Baraka zako hizi.
 
Back
Top Bottom