Moderators wa JamiiForums mnaziachia Threads kama hizi ambazo zina Lengo kabisa la Kuchokozana, Kuchafuana na Kudhalilishana ili akina GENTAMYCINE tunaoonekana tuna Hasira na Majibu Makali na Umiza kisha tukiyatoa upesi sana mje Kutupiga BAN za Wiki Tatu, Mwezi na hata Miezi.
Huhitaji Aklli Kubwa kujua na hata tu ukipitia Comments za Mleta Uzi kuwa huu Uzi ameuanzisha Makusudi ili Kunilenga Mimi na hawa Wengine aliowataja hapa amezuga akidhani wenye Aklli Kubwa na Wazoefu ( Wakongwe ) hapa JamiiForums hatufamjua.
Huenda huu Uzi umeachwa Kimakusudi na Kimkakati hadi sasa uko Kurasa ( Page ) ya Tano ( 5 ) ili Aliyelengwa Kisiri ( Kificho ) GENTAMYCINE ajibu Mapigo kisha apigwe BAN ndefu ndipo Uzi nao Ufungwe / Ufufwe rasmi.
Cc:
Cookie,
YinYang,
Moderator,
Paw,
Active,
JamiiForums and JamiiForums Founder
Maxence Melo