Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.

2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.

3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.

Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.

Wewe ni mtu wa hovyo sana, hao uliowataja ni kati ya watu wa maana sana humu, utakuwa mtu wa hovyo. Wivu na fitina sana.
 
1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.

2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.

3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.

Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Mbona wewe hujajitaja kwa uchizi wako?

Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
Nisikilize ninavyoimba na pia ninavyopiga Gitaa
Naona watu wamependeza na sijui kitatokea Nini

I do this for you Demi
NAPENDA ukiwa na Furaha

Mtoa Mada acha Chuki
 
Mtoa mada unamaanisha UMUGHAKA is OVERRATED?!
Screenshot_20221225-093413.png

Noma na Robo umemaanisha UMUGHAKA is overrated?!
 
Huyo namba tatu ngoja aamke uoge matusi kwa kutumia ID mpya,jamaa nimekua nae oysterbay familia bora tatizo lake ni ufupi,ana urefu wa futi tano kamili so badhani unafahamu watu wafupi kujikweza
Labda familia bora kwako. Familia Bora huwa hawapati muda wa kujifunza matusi. Mi nafahamu.... Jamaa amejaa matusi tu kichwani mwake.
 
Back
Top Bottom