Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Wazo zuri,ulishawahi kufanya kazi ya namna hiyo na msanii yeyote?kama ndio,weka hapa kama ushahidi ili wahusika wenye nia waweze kukutafuta.....kazi inayoonekana na kuvutia na inayolipa itawavutia wawekezaji.Ujuzi: Mtayarishaji wa muzi
Wazo: Kushirikiana na msanii (Collab)
Natafuta: Msanii atakayekidhi vigezo tutakayeingia naye mkataba wa kufanya Collab (Either kwa kumlipa exclusively au kugawana kitakachopatikana/faida).
Faida baada ya Utekelezaji: Exposure (Kitaifa na Kimataifa), Experience, kujifunza aina nyingine nyingi za muziki/genre, kuongeza wigo wa mashabiki, kuongeza professionalism, Fedha, n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuzi uko vizuri,na mwenye ujuzi awezi kulala njaa.Ikiwezekana weka sample ya baadhi ya kazi ulizofanya ili kuvutia wadau.
Kazi nzuri mkuu na garama zinaanzia kiasi gani?Na kama ni mikoani mnafika kwa utaratibu gani?
Vizuri mkuu,vipi kuhusu kutengeneza movie za katuni,unao huo ujuzi?Ikiwezekana weka na sample ya kazi ulizofanya...karibu.
Una software zozote ulizowahi kutengeneza?soko lake likoje?
Yeah zipo. Soko lake ni narrow kidogo. Haswa kwa sasa ushindan ni mkubwa. Laki soko lipo.. naweza sema upatikanaji ni size ya kati.Una software zozote ulizowahi kutengeneza?soko lake likoje?
Wazo kuanzishwe account kwa wasanii chipukiziUzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji.
Karibuni.
- Taja ujuzi ulionao: mfn. kutengeneza katuni
- Wazo ulilonalo: mfn.Kutengeneza matangazo kwa kutumia katuni
- Unatafuta nini: mfn. Mshirika/mtaji/kuajiriwa
- Faida baada ya utekelezaji:mfn. mauzo yasiyopungua 50m kwa mwaka
Unatafuta msanii au mwny kipaji cha usanii nikiwa namanisha hajawahi toa music wwt ila ana aidia na music ambae hajapata wakumwendelezaUjuzi: Mtayarishaji wa Muziki (Producer)
Wazo: Kushirikiana na msanii (Collab)
Natafuta: Msanii atakayekidhi vigezo tutaingia naye mkataba wa kufanya Collab (Either kwa kumlipa exclusively mwanzoni au kugawana kitakachopatikana/faida).
Faida baada ya Utekelezaji: Exposure (Kitaifa na Kimataifa), Experience, kujifunza aina nyingine nyingi za muziki/genre, kupromote kazi zetu katika media tofauti tofauti pamoja na TV na Redio, kuongeza wigo wa mashabiki, kuface new challenges, kuongeza professionalism, Fedha, n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri,ila kuanzisha akaunti kwa wasanii chipukizi ni changamoto kwa sababu masuala ya fedha yanahitaji uaminifu wa hali ya juu kwa ushauri hebu jaribu kujirekodi nyimbo zako halafu njoo na uzi wa kuomba ufadhili wa kwenda hatua nyingine ili uweze kutimiza ndoto zako;pia jaribu kupakia kwenye youtube akaunti...ili watu wenye mitaji waweze kukuona.Ujuzi wangu ni usanii
Upungufu ni kutopata pa kujiendeleza na ukosefu wa mtaji pia Wazo kuanzishwe account kwa wasanii chipukizi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji1787]JF milele hahaha yani chezea nusu beiUjuzi :mwizi wa kimataifa
Lengo :kwenda kuvamia na kuiba benki kuu BOT
Faida :nitapata pesa nyingi sanaa ntawasaidia masikin na watoto ambao hawajiwezi
Changamoto 😛olice ni tatizo pia kuna baadhi ya siraha nimekosa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mpaka mimi nimeshtukaWe mbona kama afisa TRA boss kazi? Disko lisije kuingia mmasai
Wataalamu wapo,ila fedha au mtaji ndio huwa ni changamoto;we unahisi mtaji unaohitajika ni kiasi gani?Elimu, Shahada ya usimamizi wa mazingira na utawala
wazo la Biashara kufungua Kampuni itakayo jihusisha na uzalishaji wa lishe zaidi wa watoto chini ya miaka mitano
upungufu mtaalamu wa lishe, Fedha na Mtaji.
Uwezo wa biashara kukua na kujiendesha, biashara hii ni rahisi kukua na ina uwezo mkubwa wa kuwa funded Mzee Kikwete alishawahi kusema Wenzetu wana mahela mengi ni kujua tu jinsi ya kuongea nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia millioni 6,inatosha kabisa.Wataalamu wapo,ila fedha au mtaji ndio huwa ni changamoto;we unahisi mtaji unaohitajika ni kiasi gani?
Andika mchanganuo vizuri,ili wahusika waweze kuvutiwa na wazo lako.
hummer juice, ndio hii ya masaki ee,
Kwa wenye interest mchanganuo upo, ni kufanya mawasiliano tu tuone tu nafanya.Andika mchanganuo vizuri,ili wahusika waweze kuvutiwa na wazo lako.
Acha kuongea kihuni.Ujuzi wangu ni biashara,tupo mtu mbili tunafuata mazao kijijini tunakuja kupiga hela mjini kwa sasa aliekua na shamba amesitisha kulima tatzo limekua ni mtaji tulikua tunafuata mzigo wa m6 tunauza hadi zaidi ya m7 sabb dalal tulikua sisi wenyewe kwa mwezi safari hadi mara tatu sasa tatizo limekua ni mtaji kwa sasa nafanya mishe zingne zinazonipa kusogeza maisha hapa mjini....nikipata mtaji narudi kwenye kazi
Hell yeah brother!hummer juice, ndio hii ya masaki ee,