Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji

Ujuzi: Mtayarishaji wa muzi

Wazo: Kushirikiana na msanii (Collab)

Natafuta: Msanii atakayekidhi vigezo tutakayeingia naye mkataba wa kufanya Collab (Either kwa kumlipa exclusively au kugawana kitakachopatikana/faida).

Faida baada ya Utekelezaji: Exposure (Kitaifa na Kimataifa), Experience, kujifunza aina nyingine nyingi za muziki/genre, kuongeza wigo wa mashabiki, kuongeza professionalism, Fedha, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri,ulishawahi kufanya kazi ya namna hiyo na msanii yeyote?kama ndio,weka hapa kama ushahidi ili wahusika wenye nia waweze kukutafuta.....kazi inayoonekana na kuvutia na inayolipa itawavutia wawekezaji.
 
Ujuzi uko vizuri,na mwenye ujuzi awezi kulala njaa.Ikiwezekana weka sample ya baadhi ya kazi ulizofanya ili kuvutia wadau.
IMG-20190323-WA0017.jpg
IMG-20190323-WA0020.jpg
IMG-20190323-WA0021.jpg
IMG-20190323-WA0019.jpg
IMG-20190323-WA0006.jpg
IMG-20190323-WA0005.jpg
IMG-20190323-WA0010.jpg
IMG-20190323-WA0026.jpg
IMG-20190323-WA0018.jpg
IMG-20190323-WA0023.jpg
 
Ujuzi wangu ni usanii
Upungufu ni kutopata pa kujiendeleza na ukosefu wa mtaji pia
Uzi wa kuwaunganisha wenye ujuzi na wenye mitaji.
  1. Taja ujuzi ulionao: mfn. kutengeneza katuni
  2. Wazo ulilonalo: mfn.Kutengeneza matangazo kwa kutumia katuni
  3. Unatafuta nini: mfn. Mshirika/mtaji/kuajiriwa
  4. Faida baada ya utekelezaji:mfn. mauzo yasiyopungua 50m kwa mwaka
Karibuni.
Wazo kuanzishwe account kwa wasanii chipukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuzi: Mtayarishaji wa Muziki (Producer)

Wazo: Kushirikiana na msanii (Collab)

Natafuta: Msanii atakayekidhi vigezo tutaingia naye mkataba wa kufanya Collab (Either kwa kumlipa exclusively mwanzoni au kugawana kitakachopatikana/faida).

Faida baada ya Utekelezaji: Exposure (Kitaifa na Kimataifa), Experience, kujifunza aina nyingine nyingi za muziki/genre, kupromote kazi zetu katika media tofauti tofauti pamoja na TV na Redio, kuongeza wigo wa mashabiki, kuface new challenges, kuongeza professionalism, Fedha, n.k.






Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta msanii au mwny kipaji cha usanii nikiwa namanisha hajawahi toa music wwt ila ana aidia na music ambae hajapata wakumwendeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuzi wangu ni usanii
Upungufu ni kutopata pa kujiendeleza na ukosefu wa mtaji pia Wazo kuanzishwe account kwa wasanii chipukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri,ila kuanzisha akaunti kwa wasanii chipukizi ni changamoto kwa sababu masuala ya fedha yanahitaji uaminifu wa hali ya juu kwa ushauri hebu jaribu kujirekodi nyimbo zako halafu njoo na uzi wa kuomba ufadhili wa kwenda hatua nyingine ili uweze kutimiza ndoto zako;pia jaribu kupakia kwenye youtube akaunti...ili watu wenye mitaji waweze kukuona.
 
Ujuzi :mwizi wa kimataifa

Lengo :kwenda kuvamia na kuiba benki kuu BOT

Faida :nitapata pesa nyingi sanaa ntawasaidia masikin na watoto ambao hawajiwezi

Changamoto 😛olice ni tatizo pia kuna baadhi ya siraha nimekosa



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji1787]JF milele hahaha yani chezea nusu bei
 
Elimu, Shahada ya usimamizi wa mazingira na utawala
wazo la Biashara kufungua Kampuni itakayo jihusisha na uzalishaji wa lishe zaidi wa watoto chini ya miaka mitano
upungufu mtaalamu wa lishe, Fedha na Mtaji.
Uwezo wa biashara kukua na kujiendesha, biashara hii ni rahisi kukua na ina uwezo mkubwa wa kuwa funded Mzee Kikwete alishawahi kusema Wenzetu wana mahela mengi ni kujua tu jinsi ya kuongea nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu, Shahada ya usimamizi wa mazingira na utawala
wazo la Biashara kufungua Kampuni itakayo jihusisha na uzalishaji wa lishe zaidi wa watoto chini ya miaka mitano
upungufu mtaalamu wa lishe, Fedha na Mtaji.
Uwezo wa biashara kukua na kujiendesha, biashara hii ni rahisi kukua na ina uwezo mkubwa wa kuwa funded Mzee Kikwete alishawahi kusema Wenzetu wana mahela mengi ni kujua tu jinsi ya kuongea nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu wapo,ila fedha au mtaji ndio huwa ni changamoto;we unahisi mtaji unaohitajika ni kiasi gani?
 
Ujuzi wangu ni biashara,tupo mtu mbili tunafuata mazao kijijini tunakuja kupiga hela mjini kwa sasa aliekua na shamba amesitisha kulima tatzo limekua ni mtaji tulikua tunafuata mzigo wa m6 tunauza hadi zaidi ya m7 sabb dalal tulikua sisi wenyewe kwa mwezi safari hadi mara tatu sasa tatizo limekua ni mtaji kwa sasa nafanya mishe zingne zinazonipa kusogeza maisha hapa mjini....nikipata mtaji narudi kwenye kazi
Acha kuongea kihuni.

Elezea vizuri Gharama ya kununua Mazao, Usafiri, Changamoto.

Pia kuhusu Mauzo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjasiliamali najihusisha na waste recycle na supply chupa za henken , Windhoek n.k .
Nahudumia viwanda vyinavyotengeneza pombe ya ndizi vilivyopo ndani na nje Kwa apa arusha,mbeya n.k
Ila Kwa sasa biashara inasuasua kutokana na serikali kufunga viwanda na kuamuliwa wafunge machine za uzalishaji.
Kwa sasa nafunga mashine ya kucrash maplastik chakavu ambao nitaanza soon.
Changamoto soko ni wachina mizani yao aipitiwi wanaichezea Sana na hakuna wa kutusemea .
Biashara yangu nimesajiri Kwa jina la forogo waste recycle investment'
Mwisho ningepata mbia mwenye mtaji tukashea frusa zipatikanazo dampo maana wachina wemefanya uwekezaji mkubwa kipekee na masoko yao makuu ni kwao wanapanga bei wanavyotaka sababu walio wengi hii shughuli wanaizarau sababu ni ya uchafu au yajalala wachina wanakamata frusaa.
Samahani Kwa uandishi mbovu nadhani nimeelewa.
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom