Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #61
Mazao ya aina gani yanatoka kwa haraka sokoni?Ndio nilivyojua kuandika hivyo yani hapo ndio uwezo wangu huwezi kuniambia nimeandika kihuni wakati mie sii muhuni mauzo nimeelezea hapo,changamoto kubwa kwenyee mauzo ni kumuachia dalali mzigo wako akuuzie huku yeye hajakulipa kupoteza/hasara ni nje.me nilikua dalali na nilkua mzoefu hio ilinipita mengine ni yale ya kupambana nayo tu gafla gafla mara yanapotokea
KoroshoMazao ya aina gani yanatoka kwa haraka sokoni?
Wazo ni zuri,ingekuwa vizuri kama ungeweka breakdown hapa ili huyo atakayetoa mtaji wa 20M awe na uhakika wa fedha zake kabla ya kufika huko pm.Binafsi nina business idea, " inahusu mambo ya malipo,a payment solution for online businesses)" already nimeandaa business name, na nipo kwenye write up ya business plan. Nahitaji business partners wawili tu, mmoja awe mtaalam mbobezi wa masuala ya IT( programing) na mwingine awe na Pesa around 20 to 30M,au Fixed assets kwajili ya set up ya ofisi.Mimi ni mtaalam wa masuala ya fedha na utawala (Nimebobea) kwahio nitachangia utalam na Idea.Kwa maelezo zaidi njoo PM tuyajenge. NB.Mtaalam wa IT uwe na evidence ya kazi ulizowai kuzifanya ambazo alteast zinafanana na project, na anayechangia mtaji awe na evidence ya bank statement or deposit.
Pia kuhusiana na pesa,naweza kuchangia pia na mtu wa IT awe tayari kuchangia, Pia mtu wa marketing atahitajika hivyo tutajadili kama awe partner au tumwajili
Nawasilisha
Vizuri,unayanunua wapi na unayauza wapi?kwa jumla au rejareja?Korosho
Nadhani mlikuwa mnauzia kule Machinjioni ama MabatiniMara nyingi ni mahindi,tuliaminiwa mzigo kwahio hatukununua kwa hela zetu,kutoka Singida kuuza mwanza
Kwa sasa sina mtaji wa kuzinunua mkuu ila zinapatikana huko mtwaraVizuri,unayanunua wapi na unayauza wapi?kwa jumla au rejareja?
Jaribu tu kufafanua kama ukiwa na mtaji utazitoa wapi na kuzipeleka wapi?Kwa sasa sina mtaji wa kuzinunua mkuu ila zinapatikana huko mtwara
Kuna soko pia kule kirumba mwaloniNadhani mlikuwa mnauzia kule Machinjioni ama Mabatini
MGC
Mambo ya kama hua siwezi naweza tu kufanya ya uhalisia sii kufikirikaJaribu tu kufafanua kama ukiwa na mtaji utazitoa wapi na kuzipeleka wapi?
Naam, ni soko zuri pia. Ila kwangu mimi nauzia kule Machinjioni, saizi mahindi yameanza kuwa na faida nzuri fanya upesi urudi mzigo.Kuna soko pia kule kirumba mwaloni
Kiongozi kwa sasa sifikirii sana hela ipo kweli ila kuna sehemu nimeanza kujipangilia ngoja mizizi iote kwanzaNaam, ni soko zuri pia. Ila kwangu mimi nauzia kule Machinjioni, saizi mahindi yameanza kuwa na faida nzuri fanya upesi urudi mzigo.
MGC
Kila la kheri kiongoziKiongozi kwa sasa sifikirii sana hela ipo kweli ila kuna sehemu nimeanza kujipangilia ngoja mizizi iote kwanza
Mkuu nicheki p.m kwa maelekezoMkuu mimi nahitaji miavuli kama ya Mak Juice lakini iwe na logo ya juice yangu. Ntaipataje?
Nina partnership ya franchise na college ya moja kutoka india so mwenye mtaji wa huakika anione pm tuone tunaweza fanya kitu main ni kwenye sector ya educationMkuu inakuwaje hii?fafanua zaidi ili wahusika waweze kuja pm
Mbia anatakiwa awe na uwezo wa kununua machine palletazing mashine yenye thamani ya ml 60Wazo zuri,huyo mbia anatakiwa awe na mtaji kiasi gani? Napia kwa sababu uko field,hiyo biashara huwa inakupa faida kiasi gani,kwa mwezi?
Baada ya muda gani,hiyo mil 60 inaweza kurudi baada ya kuwekeza?Mbia anatakiwa awe na uwezo wa kununua machine palletazing mashine yenye thamani ya ml 60
Eneo la kazi ninalo na mtaji wa kuanzia kidogo hiyo mashine ni kuongeza valuu ya material yani inatengeneza atua ya mwisho ya materials tofauti na hii niliyonayo ya atua ya Kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali ni muhimu tukae chuni na mbia tupige mahesabu ya kitaalamu zaidi kabla ya kuanza mradiBaada ya muda gani,hiyo mil 60 inaweza kurudi baada ya kuwekeza?
Uko sahihi,kama muda ni mfupi itawavutia wengiHilo swali ni muhimu tukae chuni na mbia tupige mahesabu ya kitaalamu zaidi kabla ya kuanza mradi
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo ni mashine tuu yenye ubora na yenye uwezo wa kuchakata zaidi ya tani 2 Kwa siku itakuwa vizuri zaidi tutacheki China ya vigezo tunavyotaka na malengo ya kazi maana malighafi ipo na soko lipoUko sahihi,kama muda ni mfupi itawavutia wengi