Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

sawa mkuu tutashkuru....ninachotaka ni namna ya kufanya muonekano kama uo kwenye pc yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok fanya hivi..
Right click hapo kwenye desktop ije ile box ya kupangilia vitu eg personalize..sort..refresh etc..
Nenda pale palipoandikwa View kisha angalia kwenye kua align icons..
Disable pale kwenye auto arrange icons na align icons to grid. Ukifanya hvo utaweza kupeleka icon popote pale.

Jaribu ikishindikana uliza
Cc
Blank page mchumi tumbo
 
Apo nmekupata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPO ZAMANI ZA KALE
My first 3D mode

Hiyo ndo ilikiwa model yangu ya kwanza kabisa wakati najifunza hii software. Lengo lilikuwa ni kutengeneza twiga. Baada ya zaidi ya masaa manne nikaishia kutengeneza kiumbe ambacho hata mimi mwenyewe sikukielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…