Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
- Thread starter
- #21
Poa, tutakuwa tunakusubili.Shukrani mkuu, nitajaribu, though.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa, tutakuwa tunakusubili.Shukrani mkuu, nitajaribu, though.
Nimependa hii aiseeGETO LA MSELA
View attachment 1296468
this is the one of craziest render i ever made. nilitumia masaa kama kumi na moja kuikamilisha. japo sakafu kama imenizingua hivi lakini ni moja ya picha inayonivutia kwa kweli. nafikiri nitahitaji kuongeza mijusi mijusi hapo ukutani.
Akikujibu nitagBoss hakuna app ya simu ninayoweza kufanya haya makitu,yaani mi napenda sana mambo ya edit na kuchora...kama ipo naomba unitajie,nami niendelee kujifua taratibu..
PROJECT YA KITAMBO
View attachment 1296494
Hakuna kazi iliyoniumiza kama hii, na kuanzia hapo nikajipa break ndefu ya kutengeneza magari ya high poly. tairi tu zilinichukua siku tatu.
Mkuu software gani ni nzuri kwamtu ambae anajifunza hivi vitu?Huu uzi ni wa kujumuisha watu wote: wanaozalisha animations au still pictures, wanaofanya kama hobby au wanaofanya kama profession yao, wanaojifunza na waliobobea. Lengo ni ku share kazi zetu, kurekebishana ili tuweze kuboresha ujuzi wetu katika eneo hili. Ni vema pia ukiweka picha ukatoa maelezo madogo kama software uliyotumia kutengeneza picha hiyo, vitu au mbinu uliyotumia hadi ukapata
unakaribishwa mkuuNimeupenda Uzi wako
app za simu naamini zitakuwepo ila mimi sijawahi kuzitumia. kuna moja nilisikia wanaitaja ila nimeisahau jina ila nitaitafuta nikujuze. ila nguvu yake ni ndogo sana. hauwezi kufikia matokeo makubwa, matumizi ya kompyuta katika 3d and 2d softweres ni ya lazima sana.Boss hakuna app ya simu ninayoweza kufanya haya makitu,yaani mi napenda sana mambo ya edit na kuchora...kama ipo naomba unitajie,nami niendelee kujifua taratibu..
sizifahamu hizo mbili ila python naisikiasikia,ni kompyuta language inahusika na utengezaji wa program za kompyuta nadhani kama nitakuwa nakumbuka vizuri. ni kwa nini nijifunze? inauhusiano wa karibu sana na 3d medeling na mambo mengine yanayofanana na hayo?Mkuu, i wish energy/time or both uliyonayo ungeweka nguvu on these three related softwares.. rhinoceros, grasshopper and python.. all together!
soko la hizi kitu kibongobongo bado haliko wazi, mimi mwenyewe sijawahi kuingiza hata mia kwa hii kitu. ila mimi naifanya kwa malengo ya badae kwani nina mpango wa kutumia CGI elements kwenye video za muziki na filamu siku za usoni. ila nasikia ukipata mchongo kwa hii kazi hata hapa kibongobongo mshahara wake si mbaya sana si chini ya 1.5m kwa nilivyosikia kutoka kwa watu kadhaa.Hivi mkuu kwa kutengeneza picha kama hizo, kuna faida yoyote unayoipata?,
Na kama faida itakuwepo nadhani itakuwa kwenye kuziuza, Je, unaweza ukashare na masoko ya picha hizo?
Nina jamaa yangu ni mtaalam sana wakutengeneza picha kama hizo, ila huwa anafanyaga just for fun tu, ila kama zitakuwa zinasoko nadhani ni ajira nzuri sana kwa vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu, nilipata hitilafu ya kiafya hivi karibuni, lakini sasa nadhani mambo yataendelea kama nitakavyokuwa najaliwa.Mkuu endelea kushusha nondo.... Wengine tunapenda mapicha picha tu.
inategemea na vitu vingi kama unajifunza ili uifanyie nini, lakini kama nikikushauri mimi nitakushauri upite njia yangu. anza na blender.Mkuu software gani ni nzuri kwamtu ambae anajifunza hivi vitu?
shukrani.
Pole sana kiongozi.. Wenyewe tulijiuliza mdau wetu vipi tena...ila ndo hivyo tunashukuru Mungu tupo wote tena...bila shaka mambo yatakuwa mazuri.sawa mkuu, nilipata hitilafu ya kiafya hivi karibuni, lakini sasa nadhani mambo yataendelea kama nitakavyokuwa najaliwa.
😝😝😂😂we jamaa muongo sana eti si wenyewe tulijiuliza mdau Wetu vipiPole sana kiongozi.. Wenyewe tulijiuliza mdau wetu vipi tena...ila ndo hivyo tunashukuru Mungu tupo wote tena...bila shaka mambo yatakuwa mazuri.
[emoji13][emoji13][emoji23][emoji23]we jamaa muongo sana eti si wenyewe tulijiuliza mdau Wetu vipi