Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Mkuu endelea kushusha nondo.... Wengine tunapenda mapicha picha tu.
 
Boss hakuna app ya simu ninayoweza kufanya haya makitu,yaani mi napenda sana mambo ya edit na kuchora...kama ipo naomba unitajie,nami niendelee kujifua taratibu..
 
PROJECT YA KITAMBO
View attachment 1296494

Hakuna kazi iliyoniumiza kama hii, na kuanzia hapo nikajipa break ndefu ya kutengeneza magari ya high poly. tairi tu zilinichukua siku tatu.

Mkuu, i wish energy/time or both uliyonayo ungeweka nguvu on these three related softwares.. rhinoceros, grasshopper and python.. all together!
 
Stephen Chelu, pHivi mkuu kwa kutengeneza picha kama hizo, kuna faida yoyote unayoipata?,
Na kama faida itakuwepo nadhani itakuwa kwenye kuziuza, Je, unaweza ukashare na masoko ya picha hizo?

Nina jamaa yangu ni mtaalam sana wakutengeneza picha kama hizo, ila huwa anafanyaga just for fun tu, ila kama zitakuwa zinasoko nadhani ni ajira nzuri sana kwa vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni wa kujumuisha watu wote: wanaozalisha animations au still pictures, wanaofanya kama hobby au wanaofanya kama profession yao, wanaojifunza na waliobobea. Lengo ni ku share kazi zetu, kurekebishana ili tuweze kuboresha ujuzi wetu katika eneo hili. Ni vema pia ukiweka picha ukatoa maelezo madogo kama software uliyotumia kutengeneza picha hiyo, vitu au mbinu uliyotumia hadi ukapata
Mkuu software gani ni nzuri kwamtu ambae anajifunza hivi vitu?
shukrani.
 
Boss hakuna app ya simu ninayoweza kufanya haya makitu,yaani mi napenda sana mambo ya edit na kuchora...kama ipo naomba unitajie,nami niendelee kujifua taratibu..
app za simu naamini zitakuwepo ila mimi sijawahi kuzitumia. kuna moja nilisikia wanaitaja ila nimeisahau jina ila nitaitafuta nikujuze. ila nguvu yake ni ndogo sana. hauwezi kufikia matokeo makubwa, matumizi ya kompyuta katika 3d and 2d softweres ni ya lazima sana.
 
Mkuu, i wish energy/time or both uliyonayo ungeweka nguvu on these three related softwares.. rhinoceros, grasshopper and python.. all together!
sizifahamu hizo mbili ila python naisikiasikia,ni kompyuta language inahusika na utengezaji wa program za kompyuta nadhani kama nitakuwa nakumbuka vizuri. ni kwa nini nijifunze? inauhusiano wa karibu sana na 3d medeling na mambo mengine yanayofanana na hayo?
 
Hivi mkuu kwa kutengeneza picha kama hizo, kuna faida yoyote unayoipata?,
Na kama faida itakuwepo nadhani itakuwa kwenye kuziuza, Je, unaweza ukashare na masoko ya picha hizo?

Nina jamaa yangu ni mtaalam sana wakutengeneza picha kama hizo, ila huwa anafanyaga just for fun tu, ila kama zitakuwa zinasoko nadhani ni ajira nzuri sana kwa vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
soko la hizi kitu kibongobongo bado haliko wazi, mimi mwenyewe sijawahi kuingiza hata mia kwa hii kitu. ila mimi naifanya kwa malengo ya badae kwani nina mpango wa kutumia CGI elements kwenye video za muziki na filamu siku za usoni. ila nasikia ukipata mchongo kwa hii kazi hata hapa kibongobongo mshahara wake si mbaya sana si chini ya 1.5m kwa nilivyosikia kutoka kwa watu kadhaa.
 
sawa mkuu, nilipata hitilafu ya kiafya hivi karibuni, lakini sasa nadhani mambo yataendelea kama nitakavyokuwa najaliwa.
Pole sana kiongozi.. Wenyewe tulijiuliza mdau wetu vipi tena...ila ndo hivyo tunashukuru Mungu tupo wote tena...bila shaka mambo yatakuwa mazuri.
 
Mr. Stephen Chelu can we corporate and affiliate to change the Film and Video industry?
 
Back
Top Bottom