Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Heshima yenu wakuu mpo xhwali humu ndani wadau jamani mie ni member mpya humu ndani nawaombeni mni kalibixhe na mnipokee pia kwa mikono miwili nawapenda xana na pia mm ni mdau mwenzenu mpenda maendeleo km nyinyi ahxanteni na pia nafulaha icyo kifani kuungana nanyi ktk jamvi hili la GREATER THINKERS **
 
Kama mie jamaani nilikumiss pia Mkuu. Halafu sikukuona ukimbizini ujue.

Nini ilikuwa shida aisee sababu tulipata pa kujisitiri kwa muda.
 
Isije tena kama tarehe 11...daah nikaona nakosa mambo...Humu kweli kwapendeza.Jf....nilimss sana Gudume na Mshana Jr
 
Karibu Mkuu,ila jitahidi kubadilika kidogo kwenye uandishi hapo!
 
Nilikuwa nahc kufwa wajameni JF bora mmerudi Lol....
 
Mi niliwa email JF bila ku- respond, kumbe walikuwa wanakimbizana na compliance. mpaka tukaenda kwenye mitandao feki akina M blog unakuta mwandishi ni mmoja style ya kuandika ni ile ile, hainogeshi siku.

We acha tu Jela mbaya eisee!
 
Ngoja nikafute account yangu kule kijijini, siwezi mimi kuwa mwanakijiji kilahisi hivyo.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…