Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko poa Hajar,za siku?aisee ilikua ghafla saana!Nilikumiss pia Mkuu Sabosabo sababu sio kwa ughafula ule jamaani.
Natumai uko poa?
Hahaha,natania tu!Hahahaaaa. Lol.
Heshima yenu wakuu mpo xhwali humu ndani wadau jamani mie ni member mpya humu ndani nawaombeni mni kalibixhe na mnipokee pia kwa mikono miwili nawapenda xana na pia mm ni mdau mwenzenu mpenda maendeleo km nyinyi ahxanteni na pia nafulaha icyo kifani kuungana nanyi ktk jamvi hili la GREATER THINKERS **Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.
Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?
Tukutane hapa tulioimiss jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Hureeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mie jamaani nilikumiss pia Mkuu. Halafu sikukuona ukimbizini ujue.Niliwamisi sana hawa watu.
Demiss
Mzigua90 kwa sababu ya ile chura yako.
Mama sabrina
Miss Chagga
Miss natafuta
Mshana jr.
Hajar
Hearly mshikaji wangu from moro town
Mwifwa.
Na wengine kibao tu .
Ongera kwako maxence melo na uongozi wa jamii forum kwa ujumla hakika forum yetu ni zaidi ya kijiwe cha kahawa ilivyopotea basi kila kitu kilikuwa gizani.
Smatphone yangu haikuwa chochote bila jamii forum nilijihisi sina tofauti na wale wa kijijini wanaosubiria taarifa ya habari kutoka TBC peke yake.
Hakika tunajivunia uwepo wenu.
Hahahahahahhivi kila mtu akianzisha uzi wa mr au mrs flan am back hzo server ***** ngja na mm nianzshe yangu
Karibu Mkuu,ila jitahidi kubadilika kidogo kwenye uandishi hapo!Heshima yenu wakuu mpo xhwali humu ndani wadau jamani mie ni member mpya humu ndani nawaombeni mni kalibixhe na mnipokee pia kwa mikono miwili nawapenda xana na pia mm ni mdau mwenzenu mpenda maendeleo km nyinyi ahxanteni na pia nafulaha icyo kifani kuungana nanyi ktk jamvi hili la GREATER THINKERS **
Swalama jamaani Kaka ake. Hatimaye tumerudi tena nyumbani.Dada swalaama?
Kweli kabisa,nasikia kuna wengine mlikua ukimbizini huko!Swalama jamaani Kaka ake. Hatimaye tumerudi tena nyumbani.
Ghafula hasaaa Sabosabo.Niko poa Hajar,za siku?aisee ilikua ghafla saana!
Tulikuwepo aiseee. Japokuwa hakukunoga ila tulijisitiri kwa muda.Kweli kabisa,nasikia kuna wengine mlikua ukimbizini huko!
Hahahaaa. Lol.Daah, nakosa hata cha kusema
Nyumbani ni nyumbani tu!Tulikuwepo aiseee. Japokuwa hakukunoga ila tulijisitiri kwa muda.
Sababu si unajua familia ya Jf ilivyo kubwa na yenye kuvutia kila kukicha.
Dah, yaani we acha tu, hapa sasa moyo mweupee peee, kuwaona tena wapendwa wanguHahahaaa. Lol.
Hata hiki ulichoandika ndio kusema huku rafiki. Hahahaaaa.