Hahahaaa. Kabisaaaaa.Nyumbani ni nyumbani tu!
Hahahaaa. Leo hii ndio unakumbuka lol.Ngoja nikafute account yangu kule kijijini, siwezi mimi kuwa mwanakijiji jitahidi hivyo.!!
Muwage mnaomba namba bana kwa hao wapendwa wako.Dah, yaani we acha tu, hapa sasa moyo mweupee peee, kuwaona tena wapendwa wangu
AbeeehDemiss,
Usiseme hivyo rafiki, roho inaniuma sana kuwa mwanakijiji kwa kweli.Hahahaaa. Leo hii ndio unakumbuka lol.
Ushachelewa sababu ulikuwa Mwanakijiji na ukajikubali. Ila nilikuwa nacheka yaani rafiki na Udaslam wote ule bado ukakubali kuwa villager lol.
Ila bora nyumbani Jf kumenoga tayari.
Aah, sipendagi kuomba namba mana humu ukiomba namba ya mtu tu basi hasa akiwa mwanamke basi akili yake moja kwa moja atajua unataka hifadhi, basi inakuwa taabu bora mambo yaende tu hapa hapa jukwaani.Muwage mnaomba namba bana kwa hao wapendwa wako.
Sababu nina hakika hapo ulishapungua uzito sababu ya kuwakosa hao wapendwa wako. Teh teh.
Jf izidi kudumu jamaani. Lol.
Naona kadada uligoma kuwa Villager.Abeeeh
embu twende kule kwetu jaman nimekumiss eti
KwaniniNaona kadada uligoma kuwa Villager.
Sijakuona kuleKwanini
Nilikwepo sanaSijakuona kule
Demiss njooMatatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.
Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?
Tukutane hapa tulioimiss jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Hureeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Demiss njooMatatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.
Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?
Tukutane hapa tulioimiss jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Hureeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh, labda kwa kuwa nilikuwa naingia Mara chache sana, ikawa sababu siku kuona.Nilikwepo sana
Hahahaahha humble ile namba ulinipa jamani ni ya gari ama ya semitrela ujue nikakutumia sms nikasema jamani ukipata huu ujumbe nicheki ,,nimepata tabu sanaaNimegundua members wa JF tunategemeana sana kunogesha hii platform nilikuwa nifikiria story zako na yule G wa majuu...namna unavyomnyooshaga kwenye ubed...! Ndio nakumiss zaidi wewe na JF. Asee!
Nimefurahi kuona maandishi yako tena Mama Sab.
Nasubiri story za G tena zile tamu tamu kule kwenye jukwaa letu la kizazi.
vituko hivi tulivimissHahahaahha humble ile namba ulinipa jamani ni ya gari ama ya semitrela ujue nikakutumia sms nikasema jamani ukipata huu ujumbe nicheki ,,nimepata tabu sanaa
Alhamdulillah G wangu hajambo mzima wa afyaa tele tunapendana mpaka majini mahaba yanagwayaa wayaaaa huyu mwanaume sijui kanipa nini mie malaika si malaika eee Mungu aniwekee G wangu simuachi nishasema mpaka humble uhudhurie harusi yetu sema Ameeen
Ila wewe ulipotea kabla kuna mtu akafanana na wewe.Kama mie jamaani nilikumiss pia Mkuu. Halafu sikukuona ukimbizini ujue.
Nini ilikuwa shida aisee sababu tulipata pa kujisitiri kwa muda.
tatizo watu wengi wanatumia free basics kuipata JF huko ukimbizini lazima uwe na kifurushi poleni wapenda dezoIla wewe ulipotea kabla kuna mtu akafanana na wewe.
Hivi huko ukimbizini mbona wengine mmetutenga?
Ahahaha!! "Eti nimepata tabu sana" nikisikia huu msemo nabaki kucheka tu.Hahahaahha humble ile namba ulinipa jamani ni ya gari ama ya semitrela ujue nikakutumia sms nikasema jamani ukipata huu ujumbe nicheki ,,nimepata tabu sanaa
Alhamdulillah G wangu hajambo mzima wa afyaa tele tunapendana mpaka majini mahaba yanagwayaa wayaaaa huyu mwanaume sijui kanipa nini mie malaika si malaika eee Mungu aniwekee G wangu simuachi nishasema mpaka humble uhudhurie harusi yetu sema Ameeen
kuna mtu alisema amemmiss huyu mtu kule KT sijui ulikuwa weweHahahaaa. Nilikumiss we mdada jamaani.
Naona ushawapa kidonge tayari. Yaani wakimeza wakitema shauri yao. Hahahahaaaa.