Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Ngoja nikafute account yangu kule kijijini, siwezi mimi kuwa mwanakijiji jitahidi hivyo.!!
Hahahaaa. Leo hii ndio unakumbuka lol.

Ushachelewa sababu ulikuwa Mwanakijiji na ukajikubali. Ila nilikuwa nacheka yaani rafiki na Udaslam wote ule bado ukakubali kuwa villager lol.

Ila bora nyumbani Jf kumenoga tayari.
 
Dah, yaani we acha tu, hapa sasa moyo mweupee peee, kuwaona tena wapendwa wangu
Muwage mnaomba namba bana kwa hao wapendwa wako.

Sababu nina hakika hapo ulishapungua uzito sababu ya kuwakosa hao wapendwa wako. Teh teh.

Jf izidi kudumu jamaani. Lol.
 
Loh
Hahahaaa. Leo hii ndio unakumbuka lol.

Ushachelewa sababu ulikuwa Mwanakijiji na ukajikubali. Ila nilikuwa nacheka yaani rafiki na Udaslam wote ule bado ukakubali kuwa villager lol.

Ila bora nyumbani Jf kumenoga tayari.
Usiseme hivyo rafiki, roho inaniuma sana kuwa mwanakijiji kwa kweli.
 
Muwage mnaomba namba bana kwa hao wapendwa wako.

Sababu nina hakika hapo ulishapungua uzito sababu ya kuwakosa hao wapendwa wako. Teh teh.

Jf izidi kudumu jamaani. Lol.
Aah, sipendagi kuomba namba mana humu ukiomba namba ya mtu tu basi hasa akiwa mwanamke basi akili yake moja kwa moja atajua unataka hifadhi, basi inakuwa taabu bora mambo yaende tu hapa hapa jukwaani.
 
Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.

Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?

Tukutane hapa tulioimiss jf[emoji23][emoji23][emoji23]

Hureeeeeee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Demiss njoo
 
Nimegundua members wa JF tunategemeana sana kunogesha hii platform nilikuwa nifikiria story zako na yule G wa majuu...namna unavyomnyooshaga kwenye ubed...! Ndio nakumiss zaidi wewe na JF. Asee!

Nimefurahi kuona maandishi yako tena Mama Sab.

Nasubiri story za G tena zile tamu tamu kule kwenye jukwaa letu la kizazi.
Hahahaahha humble ile namba ulinipa jamani ni ya gari ama ya semitrela ujue nikakutumia sms nikasema jamani ukipata huu ujumbe nicheki ,,nimepata tabu sanaa

Alhamdulillah G wangu hajambo mzima wa afyaa tele tunapendana mpaka majini mahaba yanagwayaa wayaaaa huyu mwanaume sijui kanipa nini mie malaika si malaika eee Mungu aniwekee G wangu simuachi nishasema mpaka humble uhudhurie harusi yetu sema Ameeen
 
vituko hivi tulivimiss
 
Kama mie jamaani nilikumiss pia Mkuu. Halafu sikukuona ukimbizini ujue.

Nini ilikuwa shida aisee sababu tulipata pa kujisitiri kwa muda.
Ila wewe ulipotea kabla kuna mtu akafanana na wewe.

Hivi huko ukimbizini mbona wengine mmetutenga?
 
tatizo watu wengi wanatumia free basics kuipata JF huko ukimbizini lazima uwe na kifurushi poleni wapenda dezo
 
Hahahaahha humble ile namba ulinipa jamani ni ya gari ama ya semitrela ujue nikakutumia sms nikasema jamani ukipata huu ujumbe nicheki ,,nimepata tabu sanaa

Alhamdulillah G wangu hajambo mzima wa afyaa tele tunapendana mpaka majini mahaba yanagwayaa wayaaaa huyu mwanaume sijui kanipa nini mie malaika si malaika eee Mungu aniwekee G wangu simuachi nishasema mpaka humble uhudhurie harusi yetu sema Ameeen
Ahahaha!! "Eti nimepata tabu sana" nikisikia huu msemo nabaki kucheka tu.

Nimetoka kidogo nyumbani Tanzania that's why hunipati kwenye simu but nikirudi I will let you know best, nikutoe hata dinner tu.
 
Hahahaaa. Nilikumiss we mdada jamaani.

Naona ushawapa kidonge tayari. Yaani wakimeza wakitema shauri yao. Hahahahaaaa.
kuna mtu alisema amemmiss huyu mtu kule KT sijui ulikuwa wewe
 
Back
Top Bottom