Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Ila wewe ulipotea kabla kuna mtu akafanana na wewe.

Hivi huko ukimbizini mbona wengine mmetutenga?
Duuh. Wapi huko jamaani nilikoanza kupotea Mkuu huku jf au?

Hahahaaa. Kulipoa sanaaa hivyo hata kusingewafaa jamaani. [emoji85] [emoji85]
 
Hahahaaaaa. Nadhani ni mie kama sijakosea au kuna mtu aliandika kummiss halafu mie nikaongezea nyama.
hapana ulienda direct kwenye point kwa hakika ulikuwa wewe [emoji3][emoji2]
 
dah nilikuwa na arosto ya JF wiki tatu,Jana ndo nilitoka uhamishoni KENYA baada ya kufungua account ya dharura JamiiForums.com
 
hapana ulienda direct kwenye point kwa hakika ulikuwa wewe [emoji3][emoji2]
Hahahaaaa. Lol.

Ila huwa najikuta ananifurahisha tu kwani anajuaga kuwapa makavu Me bila kupepesa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…