Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Mshanar Jr popote ulipo nlikumiss sanaa
 
Wadau kama mwan JF utakuwa na mengi ya kuadithia hasa baada ya JF kitokuwa hewani!Je wewe binafsi nini kilikutia fadhaa na ni adha gani uliipata kwa kipindi hicho toa maoni yako na visa ulivyokutana navyo.
Asante
 
Idle yan jf ilinifanya niwe mtumwa nayo nashukuru tulipopata pa kujihifadhi kenya talk niliona at least niko jf
 
Back
Top Bottom