Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Last born mie![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1384319
Nataka sasa nihamishie mahaba huko moja kwa moja.. [emoji27] [emoji27] nimejeruhiwa huku
Tena sisi mafesti boni ndo tumeteseka sana nao hawa... yaani tuligeuzwa wazazi wao... Kakiumwa tu utasikia... mpeleke mtoto hospitali, kakilia kisa vyombo vya kuosha ni vingi utasikia msaidie mtoto kachoka... etc. YAANI ILIMRADI BALAA
Kuja hapa nikudekeze ingawa wote tu yatima.. [emoji23] [emoji23]Last born ina raha kama wazazi wako wapo hai lkn kwa sie tuliopoteza wazazi utotoni hakuna anayetujua ni msoto mwanzo mwisho!
Nitadeka kwa mume wangu [emoji4][emoji4][emoji6]
Kalete maji ya kunawa.
Kalete maji ya kunywa.
Fagia hapa tulipolia.
Osha vyomba.
Piga deki.
Na kazi nyingi zote ni kwa ajili ya last born.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani[emoji134]
hapana, niliamua kumtia adabu mimi lama deputy parent!
hapana, niliamua kumtia adabu mimi lama deputy parent!
Karibu mamiii....leo nakunywa za mwishoKwahiyo kwakua huna dogo umeamua unipe mie hilo jina lol[emoji134][emoji134][emoji134]
Pampula unadeka bwana ndio maana ulisema umeacha pombe now unakunywa bia tu.
Bakia huko huko..Nataka sasa nihamishie mahaba huko moja kwa moja.. [emoji27] [emoji27] nimejeruhiwa huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Last born mie![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1384319
Ndio, kulingana na umri, binafsi firstborn wetu alishafariki, second born alishafariki, waliobaki kila mmoja na familia yake, mzigo mkubwa uko kwa lastborn kwa vile kama familia basi wala haizidi miaka 10 tangu niwe nayo.