Uzi wa ma-lastborn tu

Last born muda mwengine ni mateso tu huwezi pewa baadhi ya vitu kisa ww ni mtt huwa naichukia muda mwengine 😠 maamuzi mengine unaamuliwa kisa ni wamwisho nakupinga ni ngumu kweli yaan.
 
Nashukuru kwa kutokuwa last born. Nimeepushiwa mengi ahahaha
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmi ni mtoto wa kwanza ila nimewah kua last born kabla wadogo zangu hawajazaliwa
 
Dada zangu wote hawanipendi napendwa na kaka zangu tu ila nao pia mm siwapendi mana sasa nishakuwa mtu mzima uzazi ungekubali mapema ungekuta naitwa bibi sasa ila wananiita dogo sipendi mnoo yani vimajukumu vilr vya kijinga jinga utasikia mcheki dogo ashuhulikie fasta
ILA SIJUI KWANINI MALAST BORN WENGI TUNACHUKIWA SANA NA WAKUBWA ZETU ,
YANI UKIFUATILIA FAMILIA NYINGI LAST BORN HAWAPENDWI, SIJUI NI WIVU?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingine nachochukia n kwamba nisipotimiza jukumu flani lawama nyingi mana wote utasikia ww nilikulipia ada mara hivi mara vile na ukicheki nina ndugu 7 yani ni mtihani jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…