Phd young junior
Senior Member
- Dec 24, 2016
- 119
- 88
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hadi leo hii nina familia yangu lakini kwa mama bado ni mtt huwa anahakikisha nimekula ontime na kulala hata nikisafiri mbali hunipigia kukumbusha kunywa maji na kula
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1384357
Lastborn wana raha utasikia mwacheni mtoto
Hata akila mkate mzima wengine mkose hata hafokewi sasa kula wewe ambae wa pili kuzaliwa utaona cha mkutema kuni [emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Mimi nakumbuka kuna siku kabla sijatoka home dogo alinikuta sebuleni naangalia kideo npo bize hatari flash yenyewe nliazima kwa mwana dogo akaja akabadilisha nkamzaba Kofi akaanza kulia aiseee jinsi ambavyo maneno yalimtoka Bi mkubwa dah jioni kuja kushtaki kwa mzee nikaambulia kuambiwa''kwani luku ulinunua wewe we unafanya kazi hela zako si unakunywa bia nenda kaangalie movie zako huko huko bar''Kidume nikaona ninyamaze mambo yasiwe mengi
Nakusubiria kule kwenye jukwaa la ngumi(Siasa)![emoji41][emoji41][emoji41]Last born oyee
Uzi umefufuliwa Tena[emoji23]
Umeniquote wapi nikujibu?Nakusubiria kule kwenye jukwaa la ngumi(Siasa)![emoji41][emoji41][emoji41]
FirstbornNa Mimi niliyezaliwa peke yangu nakuwa kundi lipi???[emoji15][emoji15]
Kwenye vyombo mkiwa mnaoshaNa sie 4th born tunacoment wapi?