Uzi wa ma-lastborn tu

Uzi wa ma-lastborn tu

Sisi first born tunakiona cha moto ,unaweza kopa pesa kwa mdogo wako uhudumie nyumban au utatue tatizo nyumbani na hiyo pesa utailipa kwa wakati,by the way tunaenjoy kuwapa huduma wadogo zetu hata kama mna pesa
 
Mimi nakumbuka kuna siku kabla sijatoka home dogo alinikuta sebuleni naangalia kideo npo bize hatari flash yenyewe nliazima kwa mwana dogo akaja akabadilisha nkamzaba Kofi akaanza kulia aiseee jinsi ambavyo maneno yalimtoka Bi mkubwa dah jioni kuja kushtaki kwa mzee nikaambulia kuambiwa''kwani luku ulinunua wewe we unafanya kazi hela zako si unakunywa bia nenda kaangalie movie zako huko huko bar''Kidume nikaona ninyamaze mambo yasiwe mengi
😀😀
 
Back
Top Bottom