pumzika kwa amani mdogo wangu ....jana tuu nilikukumbuka , wakati nasikiliza wimbo wa Maroon 5-Memories , nawish ungekuwepo na mimi ningekuwa ninavimba kuwa na kabeauty sibling ,
Mama , kaka zako na dada yako Tumekumiss sana unaishi mioyoni mwetu Forever
Asantee
Asantee
ha ha ha kumbe wewe last born ndio maana sasa naelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nilikuwa nalia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka siku moja nalala chumba kimoja na bro kitanda double decker bro akaniweka chini kisa feni haifiki Kwa hiyo kuna hiyo, alikuja kuangushwa huko juu na mm nikapandishwa kwenye feni nikaanza kumcheka mzee alivyoondoka aliishia kusema nikipanga hutokaaa na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka siku moja nalala chumba kimoja na bro kitanda double decker bro akaniweka chini kisa feni haifiki Kwa hiyo kuna hiyo, alikuja kuangushwa huko juu na mm nikapandishwa kwenye feni nikaanza kumcheka mzee alivyoondoka aliishia kusema nikipanga hutokaaa na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachoboa kwenye ulastborn ni kwamba huna wa kutuma wala kumpiga kwenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakumbuka siku moja nalala chumba kimoja na bro kitanda double decker bro akaniweka chini kisa feni haifiki Kwa hiyo kuna hiyo, alikuja kuangushwa huko juu na mm nikapandishwa kwenye feni nikaanza kumcheka mzee alivyoondoka aliishia kusema nikipanga hutokaaa na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie madada ndio mlikuwa mstari wa mbele kutubebelea last born kwenda kuzurura utafikiri tulikuwa walinzi wenu! Hapo mnapata na utetezi kuwa ulikuwa na mdogo wako hivyo hukupita chocho mbaya! Na sisi tulivyomaboya ukitununulia pipi tu hatusemi chochote [emoji23] ila Sasa zingua uone siri zake zinavyochomoka utajua tu huyu mdogo wako ni chombo cha habari au chombo cha baharini[emoji23]
Mwenzenu alijidai anajua sana kudeka, ikabidi nimuwekee ratiba ya makwenzi, tukipishana namfinya hata bila kosa, pamoja na bakora za hapa na pale. Nikamuambia utadeka na kuleta jeuri muda mchache wazee wakiwepo, ila wakitoka unalo pumbaf. Toto lilikua jeuri lile!
Tena sisi mafesti boni ndo tumeteseka sana nao hawa... yaani tuligeuzwa wazazi wao... Kakiumwa tu utasikia... mpeleke mtoto hospitali, kakilia kisa vyombo vya kuosha ni vingi utasikia msaidie mtoto kachoka... etc. YAANI ILIMRADI BALAA
Last born Wetu kalikua kahuni kweli Aisee
Kalikua ikifika Saa 2 usiku kesha lala
Asubuhi ana amka Mapema kuamsha watu kila chumba anaingia
Sasa usimfungulie uone kama hujadekishwa Choo
binamu haya malastiboni bila kua idd amin, yanaweza kukumwagia mkojo na yakashinda kesi. Utasikia, ''muache ni mtoto, hata wewe ulikua hivyo'' hehe!
Ila kiukweli sisi ma lastborn wwngine tunabeba majukumu makubwa sana ya kifamilia huwezi amini.
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Najiskiaga Vibaya naandika comment Alaf Sijibiwi Mijitu ina chatt tuu[emoji29][emoji29][emoji29]
.
.
Hata hii Sitajibiwa ila fresh tuu [emoji57][emoji57]
View attachment 1384357
Lastborn wana raha utasikia mwacheni mtoto
Hata akiwa mkate mzima wengine mkose hata hafokewi sasa kula wewe ambae wa pili kuzaliwa utaona cha mkutema kuni [emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app