Uzi wa ma-lastborn tu

Uzi wa ma-lastborn tu

Nakumbuka siku moja nalala chumba kimoja na bro kitanda double decker bro akaniweka chini kisa feni haifiki Kwa hiyo kuna hiyo, alikuja kuangushwa huko juu na mm nikapandishwa kwenye feni nikaanza kumcheka mzee alivyoondoka aliishia kusema nikipanga hutokaaa na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka siku moja nalala chumba kimoja na bro kitanda double decker bro akaniweka chini kisa feni haifiki Kwa hiyo kuna hiyo, alikuja kuangushwa huko juu na mm nikapandishwa kwenye feni nikaanza kumcheka mzee alivyoondoka aliishia kusema nikipanga hutokaaa na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie madada ndio mlikuwa mstari wa mbele kutubebelea last born kwenda kuzurura utafikiri tulikuwa walinzi wenu! Hapo mnapata na utetezi kuwa ulikuwa na mdogo wako hivyo hukupita chocho mbaya! Na sisi tulivyomaboya ukitununulia pipi tu hatusemi chochote [emoji23] ila Sasa zingua uone siri zake zinavyochomoka utajua tu huyu mdogo wako ni chombo cha habari au chombo cha baharini[emoji23]

Hahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzenu alijidai anajua sana kudeka, ikabidi nimuwekee ratiba ya makwenzi, tukipishana namfinya hata bila kosa, pamoja na bakora za hapa na pale. Nikamuambia utadeka na kuleta jeuri muda mchache wazee wakiwepo, ila wakitoka unalo pumbaf. Toto lilikua jeuri lile!

Ulikuwa unamuonea wivu eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom