Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38]Saint Anne hivi ulikosekana kwenye huu uzi wa vitoto vyenzako?!
Umeacha kudeka lakini?![emoji38][emoji38]
1st born mimi nilicomment kule juu wakati uzi wa Moto kabisa.
Nyuzi kama hizi huwa hazinipiti kizembe last born wa watu Mimi[emoji2960].
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe sijui upo kundi gani[emoji848][emoji1745]Wa mwisho kwa baba .Wa kwanza kwa mama
Nisaidie
Dah
Ngosha kumbe nawe ni last born ehLast borns huwa tunaonewa tu...ila kwenye mapenzi tuseme tu ukweli: tuna changamoto kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1915805
Last borns huwa tunaonewa tu...ila kwenye mapenzi tuseme tu ukweli: tuna changamoto kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1915805
[emoji23][emoji23][emoji23]Mnajikuta mnataka kunyonya wakati wote. Mke akizubaa anageuka kuwa mama anayemlea mtoto wake na sio mume
Saaana,u last born una raha yake jamanii,.. nakumbuka kazi yangu ilikuwa kuosha vyombo vya chai tuu vikombe na visosi...sasa ole waniwekee masahani sijui mabakuli woiii naenda kusema kwa mama😂Uzi wetu malast born.
Ila malast born kuna kafavour flani tunapewa nyumbani
Ulast born Raha asikwambie mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
My Wii kumbe na wewe ni last born[emoji7]Saaana,u last born una raha yake jamanii,.. nakumbuka kazi yangu ilikuwa kuosha vyombo vya chai tuu vikombe na visosi...sasa ole waniwekee masahani sijui mabakuli woiii naenda kusema kwa mama[emoji23]
baby,nilikumisi sanaaaFirstborn acha tuwe wasoma comments tu