Uzi wa ma-lastborn tu

Uzi wa ma-lastborn tu

Daah..mama lao ni last born..yani ana drama za kitoto toto sana sometimes.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uzi wetu malast born.
Ila malast born kuna kafavour flani tunapewa nyumbani

Ulast born Raha asikwambie mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Saaana,u last born una raha yake jamanii,.. nakumbuka kazi yangu ilikuwa kuosha vyombo vya chai tuu vikombe na visosi...sasa ole waniwekee masahani sijui mabakuli woiii naenda kusema kwa mama😂
 
Last born mama akija na muhindi wa kuchoma nakula mimi wengine wanaambiwa wakaoge😂😂
 
Back
Top Bottom