Pamoja sanaHapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum
Nb.
Msione uzi unaenda mdogo mdogo ni kwa sababu mamilionea huwa tuko bizy sana na kazi kuliko makapuku wanaoshinda mtandao kila wakati
CC Zero IQ
Hahah eti lakioneaWe ni lakionea mkuu umekuja kufanya nini huku
CC Zero IQ
Nawaona watu na mamilion yenu🤣🤣🤣 Ndio kukua huku!
Shhhhhhh... usiseme kwa sautiNawaona watu na mamilion yenu
🤭🤭Shhhhhhh... usiseme kwa sauti
Sawa boss.Nenda makapuku kaandike barua kuna wakurugenzi wetu wapo kule
CC Zero IQ
Hawana kazi wale mkuuKweli nimeamini mamilionea hatunaga maneno mengi Kama makapuku.. Yani wale makapuku kila muda Uzi wao upo juu juu tu hawana kazi za kufanya kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app