Uzi wa mamilionea

Uzi wa mamilionea

Hapa ni kwa madon tu ukiona kipato chako ni chini ya milioni moja fanya kupita hivi Nenda kule kwa Makapuku Forum

Nb.
Msione uzi unaenda mdogo mdogo ni kwa sababu mamilionea huwa tuko bizy sana na kazi kuliko makapuku wanaoshinda mtandao kila wakati

CC Zero IQ
Pamoja sana

Remember, your mind is greatest asset.
 
Napendekeza umiliinea uanzie Tsh 50millions kwenda juu.

Sio vizuri uitwe jina moja na anayemiliki Tsh milioni 2, 5 au 15.
 
Kweli nimeamini mamilionea hatunaga maneno mengi Kama makapuku.. Yani wale makapuku kila muda Uzi wao upo juu juu tu hawana kazi za kufanya kabisa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom