Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Wahi kutuma maombi kupitia tanfootball@tff.or.tz deadline ni tarehe 07 february.Upatikanaji wa tickets za world cup kule Brazil kupitia TFF kwa watanzania huu ukoje? Ni taratibu gani inabidi nifuate ili niweze kupata tickets ambazo TFF imekuwa-allocated na FIFA?
Nashukuru kwa ukaribu wako na kuwa-accessible na jamii.Wahi kutuma maombi kupitia tanfootball@tff.or.tz deadline ni tarehe 07 february.
Nashukuru kwa mwitikio wako, suala la VAT ni gumu kwa sababu lipo kisheria ndo maana katika pendekezo langu la baadhi ya wadau kupunguziwa mgawo suala la VAT na TFF sikuweka.Nakubaliana na wewe suala la mgao ni tatizo.Kwanza katika hiyo asilimia 52% inayokatwa Serikali inachukua VAT 18%.TFF royalty inayopata (mrahaba) ni sifuri 0% hiyo FDF kwa mujibu wa sheria ni kwa ajili ya miradi ya vijana,maana yake ligi yetu haichangii TFF hata hela ya kununua LUKU.Yote haya yanajadilika ili tutafute formula nzuri ya kumsaidia kila mhusika vikiwemo vilabu.
Nashukuru kwa ukaribu wako na kuwa-accessible na jamii.
I wish even our politicians like cabinet ministers, MPs, RCs, DCs etc would emulate your open door style.
Thanks a lot, bossman!
Tupo kwenye mchakato wa kiangalia upya muundo wa makato.In the meantime tuna survive kwa vyanzo mbadala kama mechi za timu za taifa,asilimia ya mgao wa azam na vodacom n.k Its very hard hasa kuendesha timu za vijana na za wanawake,ndio maana tunataka tujenge investment house pale karume ilala.Sasa kama TFF hampati chochote kwenye makato ya mapato ya mechi za ligi kuu, mnajiendeshaje, Mnaendeshaje Ligi na nini chanzo cha mapato yenu?
Mie nna maswali mawili tu ningependa kupata ufafanuzi...la kwanza ni nidhami kwa wachezaji.najua ni jukumu la club kuangalia nidhamu ya wachezaji wake lakini nyinyi kama tff mnafanya nini walau kuleta adabu katika soka la bongo?baadhi ya wachezaji wameonekana kwenye mikanda ya utupu na mapicha yasiofaa kuonekana ktk jamaa.. wangine wanaonekana wakivuta bangi na membo mengin mengi yasiofaa kwa jamii na kwa bahati mbaya si tff wala club zao wanaojitokeza na kukemea mambo yale.la pili ni kuhusu wachezaj wa kigeni..wachezaji wa kigeni ingefaa wawe ni wachezaji wa timu zao za taifa hii ingeleta changamoto kwa wachezaji wetu wa ndani,sio mchezaji anasafiri zaidi ya mail 5,000 anakuja kukaa benchi.
Kwanza nikupongeze sana Swahiba Jamal Malinzi kwa kuchaguliwa kuwa raisi wa Shirikisho La Mpira wa Miguu Tanzania. Mimi nigependa kufahamu juhudi za TFF kuboresha hivi vyama vya soka mikoani. Ki uhalisia vyama hivi vimekuwa na juhudi finyu sana katika kuendeleza soka. Ni mara chache sana vyama hivyo vimekuwa havina juhudi za kuendesha ligi mbalimbali kuanzia ngazi za chini kabisa katika mikoa mbalimbali. Je TFF ina juhudi gani kuhakiki kuwa vyama hivyo vinasimamia uendelezaje wa soka katika mikoa yao?
Hadi mwisho hakuna Jamal Malinzi alipogusia suala la ukabila. kumbe inawezekana ni kweli siyo? kwa nini husitoe ufafanuzi
Kama umetumwa na nyamlani mwambie hawapo..mpira sio siasa uwezi kumuita mtu mzigo wakati hana hata miez mitatu offisin..otherwise wwe ndo mzigo wa kufikili..hvi nyie wachangga mnamatatizo gani.?.mnalazimisha kuchaguliwa wakati uko kwnu akuna timu hata ya daraja la nne.hili jambo lipo Mkuu, na kuonesha kuwa hata yeye amelifurahia tunamuuliza maswali ktk hili ili atoe ufafanuzi yeye ananyamaza kimya, inawezekana bado tuna viongozi mizigo.