Uzi wa Matajiri tu. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
Matajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya.
20250209_012214.jpg

1. Unajishughulisha na nini?
2. Siri gani imekufanikisha?
3. Unatoa ushauri gani kwa wanaotaka kufikia mafanikio yako?
Karibu kwenye uzi wa matajiri tu! Tajiri mwenzako akusalimie!
 
View attachment 3278976

Kipimo Cha utajiri ni Nini?Ili nianze maana Nina Ndege yangu kwa ajili ya familia tuu!
 
Matajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya.
View attachment 3278976
1. Unajishughulisha na nini?
2. Siri gani imekufanikisha?
3. Unatoa ushauri gani kwa wanaotaka kufikia mafanikio yako?
Karibu kwenye uzi wa matajiri tu! Tajiri mwenzako akusalimie!
Mboni huto tuchache sana ila umetupanga panga tuuu?
 
Back
Top Bottom