Uzi wa Matajiri tu. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya

Uzi wa Matajiri tu. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya

Ulaya kwahy matajiri wote wale wa ulaya pesa yao ni ya jasho mkuu huyo mzungu ni mchawi sana kuliko kawaida ukitaka kuamini ilo jiulize kwanini china inajenga daraja katikati ya bahari yenye kina kirefu na wanajenga usiku kwanini hawajengi mchan?

Tajiri hawezi kukupa siri yake ya yeye kuwa tajifi
Sijui unatakiwa kwenda VETA.Wenzako wanakuja kuwekeza palipo na malengo ijalishi pesa zake
 
Hakuna tajiri atakuja akupe mbinu za kutoboa kizembe, hapa utawapata motivation speaker.!!
Kwanini Kuna mtu anamsikiliza Joel Nanauka anafanikiwa kujikwamua kiuchumi, huyu huyu Mwamposa Kuna mtu anaombewa na kuifanikisha mambo yake.
Sasa iwaje uambiwe kitu na tajiri kisiwasaidie baadhi ya watu(and we have ability to make logic)?
 
Tunaongelea matajiri sio motivation speaker au mchungaji..!!

Nani aliombewa kwa Mwamposa akawa tajiri?? Nitajie hata tajiri mmoja tu!
Usitaje MATAPELI nataka matajiri…
 
Back
Top Bottom