Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Kwani utajiri unaanzia na kiasi gani cha fedha
Nauliza tu
Nauliza tu
Nitaenda veta sawa ila jibu swaliSijui unatakiwa kwenda VETA.Wenzako wanakuja kuwekeza palipo na malengo ijalishi pesa zake
Sasa hivi watu wanaona wameshajua kila kitu ukileta thread za maana itapigwa mawe mpaka ingawa kama mtu muungwana ni dhahiri kuelewa Kuna watu wa kila aina huku na kukubaliana na Hali ilivyo tu mkuuThread za Zamani humu JF unakuta watu washatema madini ya kutosha yani. Nowdays utani umezidi userious uliokuepo
Nadhani being successful doesn't show how much money you have lkn je una uhuru kiasi gani wa kufanya unachotakaKwani utajiri unaanzia na kiasi gani cha fedha
Nauliza tu
Hidden under learning...? Tajiri gan alie kaa akatoa siri ya utajir wake au vip alivyofika paleWapo waungwana waliobarikiwa wenye strategy za biashara na mbinu za mafanikio it's all about kujifunza tu mkuu nothing is hidden under learning
Wanatoboa wanakuwa matajiri km Dangote, Bakhresa au unalenga watu wanaomudu milo mitatu?? Hebu nitajie hao matajiri..Wapo wengi tu hapo nimekupa mfano kwani ni wangapi wanaotoboa kupitia Joel Nanauka
Saa nyingine siyo kwamba ni siriHidden under learning...? Tajiri gan alie kaa akatoa siri ya utajir wake au vip alivyofika pale
That's their secret and they will take it to the grave
Ungekuwa mtume ama nabii ungehusika hakika I waalimu huu sio uzi wenu coz hamjui kutafuta helaSisi walimu hatuhusiki au tunahusika?
Kwanza kabisa mkuu kila kitu kimejificha ndani ya kujifunza Incase Unahitaji kufungua milango ya Siri mbalimbali jifunze pia no formula ya kusucceed katika kufanikiwa kinacho angaliwa ni Ubunifu wakoHidden under learning...? Tajiri gan alie kaa akatoa siri ya utajir wake au vip alivyofika pale
That's their secret and they will take it to the grave
Dollar 2Kwani utajiri unaanzia na kiasi gani cha fedha
Nauliza tu
Hapan mkuu tusiwabeze walimu Kuna walimu wapambanaji sana na successfulUngekuwa mtume ama nabii ungehusika hakika I waalimu huu sio uzi wenu coz hamjui kutafuta hela
Kama unazungumzia waalimu kama Christopher Mwakasege nitakubaliana nawe ila kama unamzungumzia hawa waalimu wa kuchapa viboko hadi mwanafunzi anazimia na kufa hapana aisee hao ni maskini wa kutupwa.Hapan mkuu tusiwabeze walimu Kuna walimu wapambanaji sana na successful
Sasa bakhresa ana Siri gani ya utajiri ni mitazamo tuliojijengea tu lakn ukifuatilia huyohuyo bharesa yeye kajifunza kutokana na makosa yake mpk mambo yamenyooka alf pia Kun watu nyuma yake wanaopambn kumuinua kwahy how comes mtu anakwambia utajiri una Siri no secrete on being successfulWanatoboa wanakuwa matajiri km Dangote, Bakhresa au unalenga watu wanaomudu milo mitatu?? Hebu nitajie hao matajiri..
Una akili za kitoto nenda viwandani mwake chunguza why vijana viuongo vya vinakatww na mashine whySasa bakhresa ana Siri gani ya utajiri ni mitazamo tuliojijengea tu lakn ukifuatilia huyohuyo bharesa yeye kajifunza kutokana na makosa yake mpk mambo yamenyooka alf pia Kun watu nyuma yake wanaopambn kumuinua kwahy how comes mtu anakwambia utajiri una Siri no secrete on being successful
Tueleweshe vizuri kwanza kabla sijamuita fisadi Rostam...ni uzi wa matajiri au mafisadi matajiriMatajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya.
View attachment 3278976
1. Unajishughulisha na nini?
2. Siri gani imekufanikisha?
3. Unatoa ushauri gani kwa wanaotaka kufikia mafanikio yako?
Karibu kwenye uzi wa matajiri tu! Tajiri mwenzako akusalimie!
Ni akili ndogo tu kutoka kwa maskini lakn hutambui kwamba kuna ajali kazini kukatwa kiungo ni moja ya ajali sasa wapi na wapi na suala la utajiriUna akili za kitoto nenda viwandani mwake chunguza why vijana viuongo vya vinakatww na mashine why
Kafara bhna zinatolewa pale acha ubishi basiNi akili ndogo tu kutoka kwa maskini lakn hutambui kwamba kuna ajali kazini kukatwa kiungo ni moja ya ajali sasa wapi na wapi na suala la utajiri