Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
- #81
Kaka una ushahidi gani ni kafara au ni ajali?Kafara bhna zinatolewa pale acha ubishi basi
Kaka una ushahidi gani ni kafara au ni ajali?Kafara bhna zinatolewa pale acha ubishi basi
Nimesikia hadi uvivu kumjibu..!!Una akili za kitoto nenda viwandani mwake chunguza why vijana viuongo vya vinakatww na mashine why
Elimu lizipata shule hazijawasaidia bali zimewadumaza mzidi kuwa masikiniKaka una ushahidi gani ni kafara au ni ajali?
Akili yake ndogo ata ya sisimizi kubwa maana sisimizi akiona hapa siwezi kupita anatafuta njia sio huyNimesikia hadi uvivu kumjibu..!!
Elimu sio shule tu mkuu.Elimu lizipata shule hazijawasaidia bali zimewadumaza mzidi kuwa masikini
Mzungu kawadanganya sana na anataka msijue siri ya yeye kuwa na pesaElimu sio shule tu mkuu.
Watu wajinga mmefungwa kwenye upuuzi na kushindwa kutambua utajiri ni combination ya mambo kama kujua Jinsi pesa inavyo Fanya kazi, Kuepuka madeni, kuzungukwa na watu wenye manufaa kwao, uwekezaji, uvumilivu(hakuna utajiri wa haraka), utatuzi wa changamoto za wanajamii sasa kama ilivyo adha ya watu wajinga mtaendelea kudhani "Ajali zinazotokea kiwandani kwa bharesa ni chanzo cha utajiri wake" sijui "Utajiri una Siri nyingi (uchawi)"Mzungu kawadanganya sana na anataka msijue siri ya yeye kuwa na pesa
basi na mimi ni miongoni mwa matajiriDollar 2
Mimi Kila mwanafamilia ana ndege yake, sijajua na sie tuko kwenye kundi GaniKipimo Cha utajiri ni Nini?Ili nianze maana Nina Ndege yangu kwa ajili ya familia tuu!
Tukiachana na utajiri pesa ya Tanzania mbaya sana kama mashuka ya misukule!Matajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya.
View attachment 3278976
1. Unajishughulisha na nini?
2. Siri gani imekufanikisha?
3. Unatoa ushauri gani kwa wanaotaka kufikia mafanikio yako?
Karibu kwenye uzi wa matajiri tu! Tajiri mwenzako akusalimie!
🤣🤣🤣🤣🙄Ungekuwa mtume ama nabii ungehusika hakika I waalimu huu sio uzi wenu coz hamjui kutafuta hela
Kadanganye wajinga.Watu wajinga mmefungwa kwenye upuuzi na kushindwa kutambua utajiri ni combination ya mambo kama kujua Jinsi pesa inavyo Fanya kazi, Kuepuka madeni, kuzungukwa na watu wenye manufaa kwao, uwekezaji, uvumilivu(hakuna utajiri wa haraka), utatuzi wa changamoto za wanajamii sasa kama ilivyo adha ya watu wajinga mtaendelea kudhani "Ajali zinazotokea kiwandani kwa bharesa ni chanzo cha utajiri wake" sijui "Utajiri una Siri nyingi (uchawi)"
“Sio kila mtu hapa JF ana nia njema. Kuweka taarifa zake za biashara au mafanikio kifedha wazi wazi kunaweza kuvutia matapeli na watu wenye nia mbaya.Matajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya.
View attachment 3278976
1. Unajishughulisha na nini?
2. Siri gani imekufanikisha?
3. Unatoa ushauri gani kwa wanaotaka kufikia mafanikio yako?
Karibu kwenye uzi wa matajiri tu! Tajiri mwenzako akusalimie!