Uzi wa Matajiri tu. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya

Uzi wa Matajiri tu. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya

Uzi wa kibabe sana huu lakini mzuri. mleta uzi ungeweka hata a brief story ya biashara unazofanya zikakupa utajiri, challenges unzopitia na fursa zingine unazoziona ambazo unahisi watu wakizifanya wataongezea kwenye utajiri walionao. Then watu wange flow vizuri. Sio kama hivi ulivyotupa jiwe gizani!! As if na wewe kumbe sio tajiri!!
Unasikilizia waje!!!
😂😂😂😂
Jazia nyama huu uzi utakuwa bora zaidi. Good idea!!
👍
 
Matajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya.
View attachment 3278976
1. Unajishughulisha na nini?
2. Siri gani imekufanikisha?
3. Unatoa ushauri gani kwa wanaotaka kufikia mafanikio yako?
Karibu kwenye uzi wa matajiri tu! Tajiri mwenzako akusalimie!
Pale maskini anapoomba mbinu za utajiri kwa ku fake
 
Pale maskini anapoomba mbinu za utajiri kwa ku fake
Ng'ombe zisizopenda Mafanikio, Waafrika ni maskini kifikra, akili ni ndogo kwasababu ya tabia kama hizi tusiongee mengi sana we learn from others and filter out facts
 
Back
Top Bottom