Uzi wa nyimbo zilizotuvutia majeshini na kwenye scouts wakati wa mafunzo

Wee ninyime..ninyime
Kitumbua chako... ninyime
Kina manyoya... ninyime
Kina mchanga... ninyime

******************

Sio lako dada.. la mchina hiloo
Sio lako dada we.. la mchina hilo
Ukimwi huo ukimwi huo... ukimwi umekaa pabaya
 
Mama bonge eeh

Oyaa Mozambicana

Lete stori

Ukiona kilima panda we, panda mpaka asubuhi
 
Ifeana frelimo zowona .........
 
Nalia nasikitika oh mama
Nalisaka bakabaka silioni ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Shumbwela mashushushu shumbwela๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mama bonge eeh

Oyaa Mozambicana

Lete stori

Ukiona kilima panda we, panda mpaka asubuhi
Mama bonge hebu sikia mwanao bonge anavyolia๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Bonge analia bonge
Vibonge wa coy tunawekwa kati
 
Afande Oc msalimie sir major eh matatizo yetu tunajua wenyewe

Mama mende mama panya njoo uwaone kuruti wanavyofanya
Maneno kidogo danger coy hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ