Uzi wa nyimbo zilizotuvutia majeshini na kwenye scouts wakati wa mafunzo

Uzi wa nyimbo zilizotuvutia majeshini na kwenye scouts wakati wa mafunzo

Zawia makamanda zawia…
Zawia makamanda zawia..

Tunakwenda zimbabwe zimbombo oiyolelee
 
Kuna video wanakimbia mchakamchaka huku wanaimba ila nikiiweka hapa sijui sitspigwa ban...🤔🤔🤔

Sikutegemea mamaeeehh eeeh kama ingekuwa hivi eeeh eeeh
Imekuwa hivi mama eehh eeeh
Sababu ni selule mama eeeh...

Eeh mwambie, eeeh mwambiee
Eeh mwelezee eeh mwelezee...
 
Iyena iyena mamaaa asinawiaa
Mama nifunguliee kaenda mbali nami, kaenda

#Haki nawapenda wanajeshi Sana[emoji2][emoji847]
 
Canadian yeee yapanda mlima yeee kwa Gia zote yeeeee, panda mlima panda, panda yeeeee, 835KJ kambi mama chini ya LT.COL.MTONO
 
Usinipige changalamacho we dadaa
Ukinipiga changalamacho mi nitalia

Kama mahindi kwa msanga nitakufatia
Usinipige changalamacho mi nitalia

Na kama Kichura mimi hapa ndo nitaruka
Usinipige changalamacho mi nitalia

Etc
 
Kuna video wanakimbia mchakamchaka huku wanaimba ila nikiiweka hapa sijui sitspigwa ban...🤔🤔🤔

Sikutegemea mamaeeehh eeeh kama ingekuwa hivi eeeh eeeh
Imekuwa hivi mama eehh eeeh
Sababu ni selule mama eeeh...

Eeh mwambie, eeeh mwambiee
Eeh mwelezee eeh mwelezee...
Nadhani unasema ile mara ya kwanza naumia mara ya pili sijui nini mara ya tatu kumbe tamu infact nyimbo za jeshi nyingi zinauhusiano na porn.
 
Nadhani unasema ile mara ya kwanza naumia mara ya pili sijui nini mara ya tatu kumbe tamu infact nyimbo za jeshi nyingi zinauhusiano na porn.

Upo na mwingine unataja kikojoleo cha mwanaume...😁😁.....
Nipeleke polepole unanivunja mb....ooo mamaaa.....🤪
 
Upo na mwingine unataja kikojoleo cha mwanaume...😁😁.....
Nipeleke polepole unanivunja mb....ooo mamaaa.....🤪
Hivi hizo nyimbo majeshini hawakatazwi kwanini🤣🤣
 
Hivi hizo nyimbo majeshini hawakatazwi kwanini🤣🤣
Morali....morali.....moraleeeeeeee
Kisantini,kisantini,kisantini kantukana kanitukana kanitukana....kannitukana ************
Watamalizia,wengine ....
In short ni morali na maisha halisi ya vijana bila kujali,dini,kabila,uwezo, na matabaka mengineyo. Kuwajengea uwezo wapiganaji hao kustahimili mqzingira yeyote yale, na Kuwajengea usawa baina yao.
 
Hivi hizo nyimbo majeshini hawakatazwi kwanini🤣🤣

Zinawapa amasha amsha ya kusahau maumivu na uchovu wa mazoezi makali.

Kuna wanaotembea kutoka kambi ya Kunduchi hadi ile ya karibia na mto wami pale....

Sasa unafikiri humo njiani wasipoimba hizo nyimbo hawafiki....

Amsha amsha inawafanya wasahau umbali waliotoka na wasifikirie wanakokwenda....

Huu tuliuimba Makutupora miaka hiyooo

Mpeleke mpelekee waapiii kwa baresa
Kwa baresa kuna nini, Jamila katobolewa, katobolewa na nani,
Mchaga muuza duka.....

Waa Jamila shilingi imempoza, kavaa dontachi namwita ananengua.....

Matikiti kudondoka
Matikiti kudondokea...
 
Iyena iyena mamaaa asinawiaa
Mama nifunguliee kaenda mbali nami, kaenda

#Haki nawapenda wanajeshi Sana[emoji2][emoji847]
Wimbo halisi wa hichi kibwagizo unaitwaje, nautafuta sana.
 
Back
Top Bottom