Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hahahaPale Mamsera nilikuhonga nini? Jifanye umesahau basi...
4. jf usiku wa mananeKuna thread 3 huwa najiuliza ikitokea mods wakazifuta hasira za wadau itakuwaje?
1. Wazee wa kubet
2. Makapuku forum
3. Kupeana likes
Hizi ni threads ziko active muda wowote na wadau wake kila ukiingia ni kama wametengeneza familia fulani ya wao wao, nawaza mods siku waziondoe itakuwaje?
Hii kakakuona ndio amefunika wote nimejikuta nacheka peke yanguJF raha bhana.Kuna kipindi unakutana na majibu ya kiduanzi,nyodo,makuzi,ucheshi n.k ambayo hutokutana nayo sehemu yeyote ile.Kama ulikua umenuna inabidi ufumue kicheko tuuu.Ukiyaona hebu "tuskinishotie" na sisi tuyasome.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naanza na haya [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1034896View attachment 1034898View attachment 1034899
ha ha ha nimecheka hatari kwa daladalaUnanikumbusha mwaka jana tupo china na mwenzangu ktk kukata mitaa jamaa yangu akaniuliza ile hoteli tuliokula cha kula cha mchana ipo sehem gani?bila ya kupoteza muda nikamjibu Gongo La Mboto[emoji1321]♂️
Jamaa akaniangaliaa akasema kwa hasira,oyaa acha upuuzi,nikamjibu mimi au wewe nani mpuuzi??
Wewe unajua wazi kabxaa huku china mimi na wewe wote wageni sawa na bubu na kiziwi.sasa iweje uniulize ati hoteli tulokula ipo mtaa gani[emoji38]