Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Yeremia 1:1-8. Umuhimu wa kuwa na moyo wa ujasiri katika kutimiza kusudi la Mungu katika maisha ya mkristo. Siri ya kuwa na ujasiri wa kweli ni kumsikia Mungu katika neno lake.Nishirikishe neno la Leo mkuu