Uzi wa siku ya leo tu

Uzi wa siku ya leo tu

Leo nimepiga hela nzuri matumizi ya mwezi mzima
Najikuta naimba tu nyimbo za Bob Marley na Kuck Dube
Sema nimekosa mbege tu, ila Mungu amtupi mja wake. .
 
Mimi nimetoka micro credit kujaribu kukopa Ila nimekuta wamefunga ofisi.gongo itanikoma leo
 
Nimeamka fresh nipo job "Call"..nishakunywa supu na soda ya baridi hapa nashushia tu na maji nikisubiri kumaliza kazi niende kujirusha plus kuangalia games za leo..Man City na Westham,,Dodoma Jiji na Yanga.
 
Dahhhh....
Ndio kwanza naamka na mning'inio wa dunia, dahhh ile K-Vant kubwa niliikata yote nikaongeza na ile ya kati nikafuta...😋
Ha ha haa,we ni shida
 
Nimeamka fresh nipo job "Call"..nishakunywa supu na soda ya baridi hapa nashushia tu na maji nikisubiri kumaliza kazi niende kujirusha plus kuangalia games za leo..Man City na Westham,,Dodoma Jiji na Yanga.
Job today?....kwann wasikupumzishe mkuu
 
Leo nimepiga hela nzuri matumizi ya mwezi mzima
Najikuta naimba tu nyimbo za Bob Marley na Kuck Dube
Sema nimekosa mbege tu, ila Mungu amtupi mja wake. .
Hakika,habagui ...ni mwaminifu siku zote
 
Back
Top Bottom