Asclepius JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 694 Reaction score 730 Apr 19, 2019 #101 Tunaanza lini sasa?? Watu vitambi vinakua hakuna pa kuvipeleka
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Apr 19, 2019 Thread starter #102 Asclepius said: Tunaanza lini sasa?? Watu vitambi vinakua hakuna pa kuvipeleka Click to expand... mkuu tunaanza soon ila tunaangalia watu wengi wako mkoa upi!.kama ni dar sawa. Kama ni dom me swala la uwanja niacheni. tutacheza kilimani pale.. ila jiongezeni
Asclepius said: Tunaanza lini sasa?? Watu vitambi vinakua hakuna pa kuvipeleka Click to expand... mkuu tunaanza soon ila tunaangalia watu wengi wako mkoa upi!.kama ni dar sawa. Kama ni dom me swala la uwanja niacheni. tutacheza kilimani pale.. ila jiongezeni
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Apr 19, 2019 #103 Kiungo namba 6 hapa unaweza niita GUNDOGAN
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Apr 19, 2019 #104 pancho boy said: Namba.. 4-iko wazi 5-iko wazi 2-iko wazi 11-iko wazi Click to expand... tano mimi libero
pancho boy said: Namba.. 4-iko wazi 5-iko wazi 2-iko wazi 11-iko wazi Click to expand... tano mimi libero
free lander JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 307 Reaction score 288 Apr 20, 2019 #105 Namba 4 mtata kuliko utata wenyewe