Uzi wa team yetu ya mpira JF FC weka namba yako unayocheza,uwezo picha kama zipo

Uzi wa team yetu ya mpira JF FC weka namba yako unayocheza,uwezo picha kama zipo

Tunaanza lini sasa??
Watu vitambi vinakua hakuna pa kuvipeleka
mkuu tunaanza soon ila tunaangalia watu wengi wako mkoa upi!.kama ni dar sawa. Kama ni dom me swala la uwanja niacheni. tutacheza kilimani pale.. ila jiongezeni
 
Back
Top Bottom