leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Musiba makamu wa rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChiefHabari wakuu!
Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo
Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]
2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA
3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI
4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]
5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4
6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO
7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI
8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]
9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=
10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]
Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
Serikalini ya tanzania yaruhusu bangi kuanza kutumika mashuleni
Somo la uchawi laingizwa kwenye mitahala nchini Tanzania
Tanzania awa mwenyeji wa kombe la dunia
Chief
Ubarikiwe sana,hii nimeipenda
Ila hakuna ndoa pasi na mahari
Mahari hata iwe chungwa,lkn ni Mahari
Shukran
Hahahaha ,land cruiser hiyo[emoji125][emoji125],.ALIYEKUWA RAIS WA TZ AWAMU YA TANO AGOMA KULA GEREZANI IKIWA NI BAADA YA MIAKA 7 BILA KESI YAKE KUSIKILIZWA
Madawa ya kulevya kuanza kutumika Tanzania Kama unga wa ugali baada ya mahindi kuadimika. Na mwandishi wetu
Hii komesha wallahALIYEKUWA RAIS WA TZ AWAMU YA TANO AGOMA KULA GEREZANI IKIWA NI BAADA YA MIAKA 7 BILA KESI YAKE KUSIKILIZWA