1: Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tajiri dunianiHabari wakuu!
Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo
Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]
2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA
3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI
4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]
5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4
6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO
7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI
8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]
9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=
10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]
Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
1) Tanzania yaipatia msaada WA kifedha Marekani ili kusaidia kuinua uchumi wa nchi hiyo unaodidimia.
2) Tanzania yatajwa kua mzalishaji mkubwa wa magari duniani.
3) Mgombea Urais wa CHADEMA apitwa bila kupingwa baada ya yule wa CCM kujitoa ili kuunga mkono juhudi za wa CHADEMA.
4) Club ya Simba yatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 60 mfululizo. Yanga yashindwa kupanda daraja kwenda ligi daraja la tatu.
Unaona kweli mtu mwenye miaka 60+ atakuwepo hadi 2119?Kwangu mimi, hii ndo headline bora kuliko zote kwa miaka hiyo 100 ijayo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we chiziVIJANA WA SEKUNDE 2 WAZUNGU WAA WASHANGAA, BABU ADAI ALIKUWA ANAENDA DAKIKA 2 MWAKA 2019.
Akiri kumpoteza saa 8 na kuamrisha ''msaliti" kumiminiwa risasiALIYEKUWA RAIS WA TZ AWAMU YA TANO AGOMA KULA GEREZANI IKIWA NI BAADA YA MIAKA 7 BILA KESI YAKE KUSIKILIZWA
Unaona kweli mtu mwenye miaka 60+ atakuwepo hadi 2119?
[emoji16]VIJANA WA SEKUNDE 2 WAZUNGU WAA WASHANGAA, BABU ADAI ALIKUWA ANAENDA DAKIKA 2 MWAKA 2019.
[emoji16]ALIYEKUWA RAIS WA TZ AWAMU YA TANO AGOMA KULA GEREZANI IKIWA NI BAADA YA MIAKA 7 BILA KESI YAKE KUSIKILIZWA
[emoji16]Habari wakuu!
Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo
Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]
2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA
3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI
4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]
5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4
6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO
7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI
8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]
9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=
10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]
Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hivi mnalaana au !??1) Tanzania yaipatia msaada WA kifedha Marekani ili kusaidia kuinua uchumi wa nchi hiyo unaodidimia.
2) Tanzania yatajwa kua mzalishaji mkubwa wa magari duniani.
3) Mgombea Urais wa CHADEMA apitwa bila kupingwa baada ya yule wa CCM kujitoa ili kuunga mkono juhudi za wa CHADEMA.
4) Club ya Simba yatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 60 mfululizo. Yanga yashindwa kupanda daraja kwenda ligi daraja la tatu.
[emoji16]Rais mstaafu wa awamu ya Tano asherehekea siku ya kuzaliwa kwake gerezani
Atimiza miaka 105
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shirika la anga la nchini Tanzania lasema chombo chake kinatarajia kufika katika sayari ya pluto mnamo siku tatu zijazo ambapo ni jaribio lake la nne bada ya fufanikiwa kupeleka vyombo vyake katika anga la sayari ya jupiter na kingine kutua katika sayari ya mars