Uzi wa vichwa vikali vya habari miaka 100 ijayo

ni mwaka mmoja tangu jamaa yetu kaachia ngazi na mambo ndio kama hivi #gazeti fulani hivi la udaku kipindi hicho
 
Habari wakuu!
Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo
Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]
2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA
3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI
4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]
5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4
6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO
7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI
8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]
9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=
10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]
Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
1: Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani
2: Tanzania ni nchi ya pekee inayoongoza kuwa na viwanda vingi kila wilaya
3: wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania waanza kutimkia ughaibuni kusaka ajira
4: Idadi ya wanaopata ujauzito shuleni yazidi kuongezeka Tanzania kushika namba moja Afrika
5: Waandishi wa habari watakiwa kuhakikiwa uraia wao
6: Tanzania yaanza kununua mamba na viboko
 
TANZANIA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

SASA NI USO KWA USO NA UJERUMANI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1) Tanzania yaipatia msaada WA kifedha Marekani ili kusaidia kuinua uchumi wa nchi hiyo unaodidimia.

2) Tanzania yatajwa kua mzalishaji mkubwa wa magari duniani.

3) Mgombea Urais wa CHADEMA apitwa bila kupingwa baada ya yule wa CCM kujitoa ili kuunga mkono juhudi za wa CHADEMA.

4) Club ya Simba yatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 60 mfululizo. Yanga yashindwa kupanda daraja kwenda ligi daraja la tatu.
 
Habari wakuu!

Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]

Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa miaka hiyo

Ili vizazi vije vione utabiri huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

1. TAIFA STARS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA[emoji41][emoji41]

2.SIMBA SC YATWAA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA KWA MARA YA TISA

3.TANZANIA YAUZA UMEME NCHI ZOTE ZA AFRICA MASHARIKI NA KATI

4.NI MARUFUKU KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA KAMA HUJAVAA SUTI[emoji41][emoji41]

5.YANGA SC YATWAA KOMBE LA SHIRIKISHO KWA MIKWAJU YA PENALTY DHIDI YA WYDAD ATHLETICS 5-4

6.WABUNGE WAKATAA KUPITISHA SHERIA YA KURUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA KWA MARA YA 6 MFULULIZO

7.ZANZIBAR KISIWA BORA ZAIDI DUNIANI

8.WANAWAKE WARIDHIA KUOLEWA BILA MAHALI [emoji7][emoji7]

9.SOKO LA MAGARI MAPYA TANZANIA LASHUKA, V8 SASA INAUZWA 260,000/=

10. MAREKANI YAPOKEA MSAADA WA $16 BN KUTOKA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1320][emoji1320]

Tuendelee........[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji16]
 
1) Tanzania yaipatia msaada WA kifedha Marekani ili kusaidia kuinua uchumi wa nchi hiyo unaodidimia.

2) Tanzania yatajwa kua mzalishaji mkubwa wa magari duniani.

3) Mgombea Urais wa CHADEMA apitwa bila kupingwa baada ya yule wa CCM kujitoa ili kuunga mkono juhudi za wa CHADEMA.

4) Club ya Simba yatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 60 mfululizo. Yanga yashindwa kupanda daraja kwenda ligi daraja la tatu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hivi mnalaana au !??
 
Shirika la anga la nchini Tanzania lasema chombo chake kinatarajia kufika katika sayari ya pluto mnamo siku tatu zijazo ambapo ni jaribio lake la nne bada ya fufanikiwa kupeleka vyombo vyake katika anga la sayari ya jupiter na kingine kutua katika sayari ya mars
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom